International investors choose South Africa, Nigeria and Kenya as top 3 in 2011

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
Herald Express; August 24, 2011



- A Press Release -
Amsterdam, August 24, 2011. International investors choose South Africa, Nigeria and Kenya as the best African countries on the continent for investment in 2011. A survey conducted by Africa Business Panel among 800 business professionals involved with Africa shows that these 3 countries were earmarked as the continent's favourites when it comes to international investment. Ghana, Angola, Tanzania, Rwanda, Botswana, Uganda and Mozambique are the runners up and complete the top ten countries for investment out of 53 economies on the African continent.

Virtually all African economies show promising year-on-year growth. This is attracting the attention of the international investor community who increasingly see Africa as ‘the last frontier' for attractive growth opportunities. Research and numerous survey results among the international investor community consistently indicate that investors expect over half of the ten fastest growing economies in the world in 2011 to be African.

The Africa Business Confidence Index has published a month-on-month business confidence index since January 2011. The index results for Africa based on surveys of 800 business professionals from more than 30 countries on the continent consistently show growth. Calculations are based on the purchase managers index methodology used globally. The outcome of the business confidence index for the African continent is consistent with the trust of the international investor community. The manufacturing business confidence index for May is 53.8 and for non-manufacturing 57.1 for the same month. Any number over 50 indicated growth.


It is no coincidence that the top-10 countries selected by the international investor community in 2011 are all sub-Saharan. Northern Africa has suffered a set back in confidence from investors owing to the political turmoil which started at the beginning of the year.


Another interesting outcome with regard to the most attractive African economies to invest in is the fact that they are among the largest on the continent and – with the exception of Rwanda – non-Francophone.


The top-10 African countries selected by the international investor community in 2011 in order of preference:


1. South Africa
2. Nigeria
3. Kenya
4. Ghana
5. Angola
6. Tanzania
7. Rwanda
8. Botswana
9. Uganda
10. Mozambique


Lourens van Niekerk, Senior Manager at Standard Bank, South Africa: ‘Angola is still growing its economy at a massive speed and with the oil price appreciation it is bound to continue. A distinct lack of certain products and services is growing instead of declining and makes Angola a frontier market of the first order. You should also watch stock exchange developments, construction, green sector and professional services. As far as South Africa is concerned it needs to iron out its strategy after joining the existing BRIC countries, but its inclusion will surely result in increased trade. Using South Africa as a springboard into the rest of Africa is an attractive option for investors and I expect to see government initiatives to encourage this. Ghana's economic and political stability persists as commercial oil production comes on stream for the first time. Trade with its neighboring giant Nigeria is key and Accra is an attractive commercial centre to conduct business from with West Africa.'


Ogo Ibok, CEO at Skill Enhancement Centre (SENCE), Nigeria: ‘Nigeria has a huge population with a huge potential for growth, despite the infrastructural challenges, the opportunities for investors cannot be over estimated. Ghana is an emerging market, with a stable government. The country is attracting a lot of attention and with the recent oil activities there are vast opportunities for investors. Rwanda is now one of Africa's major success stories and is growing in leaps and bounds. The government has shown it is serious and determined about rebuilding its economy after the tragic events that took place in the past. Who does not want to be associated with success?'


Nicholas Sowden, Business Development Manager at ToughStuff, Kenya: ‘The Kenyan economy is growing at a blazing rate and has done so for the last 3 years. We expect this to continue into next year. Nairobi's as the regional hub for East Africa is becoming more important with the integration of the East Africa Community. For this reason dozens of companies are moving their regional and continental head quarters to Nairobi supported by the ease of travel and a pleasant lifestyle. This means that industries such as Construction, real estate and services to corporations are growing steadily and will continue to do so.

Additionally, Kenya is taking advantage of Southern Sudan's likelihood of joining the East African Community by creating a port in Lamu. This is further boost Kenya's regional importance over the next several decades. Anyone interested in mobile and ICT technology will be drawn to Kenya. Its leading when comes to software developers, computer science colleges, incubators like i-Hub and others. Finally, the phenomenal success of the mobile payment system Mpesa will attract others who are interested in the opportunities offered by a country where a majority of the people now use their mobile phones for monetary transactions. In terms of entrepreneurship, Nairobi is and will continue to be one of the best environments for innovation in Africa. 3 great schools are turning out qualified engineers, computer scientists and business students.

These graduates are getting jobs with successful companies and learning quickly. For the first time we're seeing a bounty of talented young professionals in Africa taking risks by starting their own businesses or returning home from abroad to start businesses.'


 
Bora waende huko huko wamezidi kupora rasilimali zetu kiulaini na hawa mafisadi..
 
Bora waende huko huko wamezidi kupora rasilimali zetu kiulaini na hawa mafisadi..
Mbona Kenya na S. Africa hawalalamiki kuporwa kwa Mali zao? au kwasababu Sheria zao ni bora zaidi ya zetu? na wao ni wasomi zaidi ya sisi/
 
The previous regime and current for both have done nothing to further education in this country, this country for the past two decades has only seen a concentration of a wealth among a few TZ officials and their friends. Its actually a very sad situation that those leaders leading this nation never saw into the future, they only saw the need to fill their own pockets. One day skilled labor will have to be outsourced.
 
Next survey ntafurai Tz iwe ya mwisho ili waache kuja invest mpaka tuttakapondokana na hii sirikali legelege na mikataba ya akina Mangungo wa Msovelo
 
Hayo masuala ya investment yana variables nyingi sana hivyo basi hiyo list sidhani kama ina maana yeyote ile. Mfano kwenye natural resources invesstors will only go where they are. Mauritius for example has all high indexes to be a favourable investment climate, lakini for the past 3 years inapitwa na madagascar ambayo ni poor, rare availability of skilled labor, poor banking sector etc.
 
Mkuu hata tukawa wa mwisho, bado kuporwa kwa rasilimali zetu kupo pale pale. Hizo zilizotajwa wamechagua kama head quarter zao, na wao watakuwa wanaishi huko. Ni yale yale ya enzi ya mkoloni sema kwa sasa wamebadili jina siyo 'settlers' kama walivyojulikana sasa wanaitwa 'international investors' Kikubwa sasa ni kukazania education system yetu iweze kushindana na soko la ajira na kujiajiri.
 
The previous regime and current for both have done nothing to further education in this country, this country for the past two decades has only seen a concentration of a wealth among a few TZ officials and their friends. Its actually a very sad situation that those leaders leading this nation never saw into the future, they only saw the need to fill their own pockets. One day skilled labor will have to be outsourced.
Every thing about eucation went wrong in the second phase Government. it is a time we experienced a change from free education and a big rise in school fees. I remember the fees went from Tshs 8,000 per year in 1993 to 75,000 per year in 1995!, the fees was increasing each semester due to lack of food caused by massive reduction of Government subsidy. this is a time we killed education in Tanzania. Kama ulikuwepo unaweza kukumbuka jinsi watotot walivyokuwa wanagoma na kuandamana kila shule!

To me, the problems we suffer today is a result of poor thinking of MR MWINYI and a releaf we have is a Strong reform administered by MR MKAPA. Now we are in a phase of doom! LONG LIVE MZEE MKAPA, you did some thing visible compared to your former and the later!
 
Sisi Tanzania tunao wawekezaji wetu ambao ni CCM wanatuibi hadi tupo hoi. Hao wakija tena kushiriki kutuibia nchui itabaki mifupa kama alivyosema Sitta.
 
Hali ya uwekezaji wa nje nchini Tanzania imeongezeka kwa kiwango kikubwa toka mwaka 1995 ambapo thamani ya uwekezaji ilikuwa dollar za kimarekani millioni 150 na zilipanda hadi kufikia dollar millioni 496.6 ambapo mwaka huo uwekezaji wa kutoka nje kwa Afrika nzima ulikuwa dollar za kimarekani million 11,962 hivyo uwekezaji wa Tanzania mwaka huo ulikuwa asilimia 4. Toka wakati huo thamani ya uwekezaji wa nje imekuwa ikiongezeka hadi kufikia dollar za kimarekani million 700 mwaka 2010.Lakini ukiuaji wa uwekezaji Tanzania umekuwa hauendani na kasi ya ukuaji wa uwekezaji wa nje kwa bara la Afrika. Mfano mwaka 2008 thamami ya uwekezaji Tanzania ilikuwa dollar za kimarekani millioni 679.3 na kwa Afica nzima thamani ya uwekezaji ilikuwa dollar million 72,179. Hivyo uwekezaji wa nje kwa Tanzania mwaka 2008 ulikuwa asilimia 0.94(chini ya asilimia 1).
Hivyo japo thamani ya uwekezaji imekuwa inaonekana kama inaongezeka, lakini ukilinganishwa na ongezeko la uwekezaji kwa nchi nyingine sisi tumekuwa tunaporomoka. Chanzo http://unctadstat.unctad.org/ReportFolders/reportFolders.asp

Foreign Direct Investments help both the home and host country to create jobs, increase exports, adopt new technology, sustain economic growth, transform natural resource wealth and integrate host country economy into global economy.
 
Mbona Kenya na S. Africa hawalalamiki kuporwa kwa Mali zao? au kwasababu Sheria zao ni bora zaidi ya zetu? na wao ni wasomi zaidi ya sisi/

Labda RSA wana sheria nzuri, lakini Kenya wawekezaji wanaenda kujitwalia mali za walala hoi wa kibera...
 
Mbona Kenya na S. Africa hawalalamiki kuporwa kwa Mali zao? au kwasababu Sheria zao ni bora zaidi ya zetu? na wao ni wasomi zaidi ya sisi/

Labda huelewi SA uchumi wao ni ule walioridhi kutokana na ubaguzi wa rangi ambapo wazungu wakishirikiana na wenzao wa ulaya wanamiliki uchumi huo kwa asilimia zaidi ya 90, wakati Kenya ni hivyo hivyo uchumi wao upo mikononi mwa weupe. Kama unafuatilia utaona stock exchange za SA, Zimbabwe, na Kenya zipo UK as well kampuni kama Old Mutual, Rio Tinto kutoka Zimbabwe na asilimia kubwa ya makampuni ya SA ambayo share holders wake ni weupe. Chunguza utaona makampuni yote ya wazungu ndio yanayoendesha utalii Kenya na ndio wanasukuma agenda ya EAC ili waweze kufaidika na vivutio vya Tanzania kwa sababu Kenya hakuna kitu sasa kila mtalii anataka kuja Tanzania tu kuona Mt. Kilimanjaro na kwenda Serengeti pamoja na Zanzibar. Amka kaka uone jinsi wazungu wanavyofaidi keki ambayo ni halali kwa weusi.
 

Labda huelewi SA uchumi wao ni ule walioridhi kutokana na ubaguzi wa rangi ambapo wazungu wakishirikiana na wenzao wa ulaya wanamiliki uchumi huo kwa asilimia zaidi ya 90, wakati Kenya ni hivyo hivyo uchumi wao upo mikononi mwa weupe. Kama unafuatilia utaona stock exchange za SA, Zimbabwe, na Kenya zipo UK as well kampuni kama Old Mutual, Rio Tinto kutoka Zimbabwe na asilimia kubwa ya makampuni ya SA ambayo share holders wake ni weupe. Chunguza utaona makampuni yote ya wazungu ndio yanayoendesha utalii Kenya na ndio wanasukuma agenda ya EAC ili waweze kufaidika na vivutio vya Tanzania kwa sababu Kenya hakuna kitu sasa kila mtalii anataka kuja Tanzania tu kuona Mt. Kilimanjaro na kwenda Serengeti pamoja na Zanzibar. Amka kaka uone jinsi wazungu wanavyofaidi keki ambayo ni halali kwa weusi.

Ndio maana huwa nacheka sana nikisikia wakenya wakiwadanganya baadhi ya wazungu vilaza eti, "Kenya is a developed country"
 
Ndio maana huwa nacheka sana nikisikia wakenya wakiwadanganya baadhi ya wazungu vilaza eti, "Kenya is a developed country"

Ukiangalia Western World wanakubali hiyo Mantiki ya Kenya, Ukiangalia Wakifungua Biashara bongo wanaweka Mkenya kati yetu na hao Wawekezaji wa Kizungu... Ardhi yetu Mali zetu ila Akili wanaitumia ya Wakenya.

Ukiangalia hata Utalii Kenya wanapata pesa nyingi kwa Mlima Kilimanjaro zaidi ya sisi, kwanini? Ukiangalia kwa Wingi Watalii wanakwenda Kenya kuuangalia Mlima Kilimanjaro zaidi ya kuja Upande wa Tanzania... Wametuzidi Akili

Utaamini eti Kenya kiswahili chao ni Murua na Vitabu vingi vinatumia Kiswahili kilichodadisiwa Kenya zaidi ya Tanzania?

Nilikuwa naangalia American University ya Kenya Dean wa Department ya Kiswahili ni Mrusi; na Wanasema Kiswahili chao ni bora zaidi yetu sisi Watanzania... ELIMU yetu ni ndogo kiasi hicho???
 
Kama walivyosema wadau waliopita ripoti za namna hiyo ziko nyingi sana, kwa kifupi kwa upande wa nchi za EAC mtaji kutoka nje (FDI) uliingia kama ifuatavyo:
Uganda mwaka huu wameshavuta dola 850 milioni nchi ya pili ni;
Tanzania dola 700 millioni;
Kenya ni ya tatu dola 350 millioni,;
Rwanda ni ya nne around dola 150 millioni na;
Burundi ni ya mwisho ikiwa chini ya dola millioni 100.
 
Nimeona kadocumentari kamoja hapo utube wanaongelea kuhusu suala la chakula dunia hii na huyo mtu wa hiyo documentary akaonyesha huko kenya jinsi wazungu wanavyolima maua kwa ille haridhi nzuli na zile vitu wanaita pees kwa masoku ya ulaya tuuu. Nawakati huo huo wakenya wanalia njaa na sikia wanakuja bongo karibuni watu tuwe macho. hawa mafisadi wanasema wawekezaji alafu wanalima maua tuu kwa ajili ya masoko ya ulaya na watu wanalia njaa
 
Hao wawekezaji wameleta nini cha maana for the past 2 decades?? ushuzi mtupu na nchi inazidi kudidimia.
 
Ukiangalia Western World wanakubali hiyo Mantiki ya Kenya, Ukiangalia Wakifungua Biashara bongo wanaweka Mkenya kati yetu na hao Wawekezaji wa Kizungu... Ardhi yetu Mali zetu ila Akili wanaitumia ya Wakenya.

Hapa nalaumu viongozi wetu kwababau wanatakiwa kuwalinda wananchi wao kwa kuweka masharti ili wazawa wapewe kipaumbele na kama wawekezaji wanalalamika kuwa wabongo wavivu serikali inabidi inyooshe raia wake ili wawe wachapakazi. Mfano mzuri wa kufanya hivyo ni kuondoa rushwa na kuweka mfumo wa kumlipa mtu kutokana na uzalishaji kuliko kumpa tuu mtu mshahara wakati hajafanya chochote.

Ukiangalia hata Utalii Kenya wanapata pesa nyingi kwa Mlima Kilimanjaro zaidi ya sisi, kwanini? Ukiangalia kwa Wingi Watalii wanakwenda Kenya kuuangalia Mlima Kilimanjaro zaidi ya kuja Upande wa Tanzania... Wametuzidi Akili

Hii ni kwasababu makampuni hayo ya utalii yanamilikiwa na wazungu.

Utaamini eti Kenya kiswahili chao ni Murua na Vitabu vingi vinatumia Kiswahili kilichodadisiwa Kenya zaidi ya Tanzania?
Siwezi shangaa kwasababu watanzania wengi sio go getter, tunafikiri kuongea kiswahili vizuri inatosha wakati tunatakiwa kukitangaza na kuuambia ulimwengu kuwa kilitoka kwetu. Wabogo ni sawa na binti mrembo sana anayelalamika haolewi wakati huwa anajifungia ndani masaa 24.

Nilikuwa naangalia American University ya Kenya Dean wa Department ya Kiswahili ni Mrusi; na Wanasema Kiswahili chao ni bora zaidi yetu sisi Watanzania... ELIMU yetu ni ndogo kiasi hicho???

Sisi wabongo hatujitanzi ipavyo, unajua haijalishi kama sisi ni wakarimu, wakweli, wenye kuongea kiswahili fasaha au wenye mlima kilimanjaro bali jinsi gani tunavyo waambia ulimwengu.
 
Herald Express; August 24, 2011



- A Press Release -
Amsterdam, August 24, 2011. International investors choose South Africa, Nigeria and
Kenya as the best African countries on the continent for investment in 2011.
...

Very unrealistic, which criteria are they using? it doesn't make sense all, the level of investment is primarily measured with capital inflow..

Tazama post hii hapa chini....
https://www.jamiiforums.com/interna...uganda-tanzania-in-attracting-investment.html
 
Back
Top Bottom