International Club friendly: Yanga(Tanzania) Vs Express(Uganda)-Live Updates

tunashambuliwa sana wanaweza kupata goli la pili
Kocha kafanya makosa kumtoa Kelvin Yondani......Anyways ni mechi ya kirafiki so kocha anapata nafasi ya kuwajaribu wachezaji waliosajiliwa...
 
Namuona mkuu wangu [MENTION]YE[/MENTION] anaperuzi kwenye thread hii.....Kitambo sana mkuu
 
Mbona siwaoni mashabiki wa simba ktk thread hii. Lazima kombe la Kagame litue tena Jangwani.
 
Dah.......Yanga tunakoswakoswa dakika za majeruhi.....

Safi sana Barthez......Corner.....Inaokolewa na Juma Abdul...

Omega Seme kaingia
 
Back
Top Bottom