Internationa Criminal Court (ICC) na Nchi za Kiafrika...

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,323
4,667
Kumekuwa na Vitisho vya nchi za kiafrika kutaka kujivua uanachama wa Mahakama ya kimataifa ya makosa ya Jinai...

Burundi ikiwa nchi ya kwanza kujiondoa uanachama Nao South Afrika wakiwa tiyari wameshapitisha muswada wa kutaka kujitoa uanachama wa ICC.

Je kuna nini nyuma ya pazia kwanini nchi za Kiafrika zimekuja na Azimio la kutaka kujitoa ICC ??

Je ICC haitendi haki kwa nchi za kiafrika au kuna Mengine Nyuma ya pazia??

Karibuni Tujadili..
 
Back
Top Bottom