Mzalendo_Mkweli
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 1,988
- 1,175
Haiwezekani shilingi haishuki thamani kwa rate hiyo.Hadi december itakuwa inakimbilia around 2700~2800 ngoja tuendelee support juhudi
We are in right track in jiwe voice
Haiwezekani shilingi haishuki thamani kwa rate hiyo.
Ila mpaka 2025 naweza nikakubariana na rate hiyo.
Kingine kifahamike ni ngumu kwa mtu ama kwa kiongozi yoyote atakayeongoza nchi kuifanya shilingi isishuke thamani against dollars na sarafu zingine zenye nguvu duniani.
Kwa mwaka tu uliopita EURO imestrugle against USD kwa kipindi kirefu hasa kuanzia mwezi wa 6/2018 na hata mpaka sasa hivi. Sasa fikiria kuhusu shilingi.
Bei ya mafuta kupanda - hii huathiri sekta ya usafirishaji, viwanda na hata kilimo.wataalamu wa uchumi watusidie,madhara yake.