Intelligent woman (Mwanamke mwerevu)

Hela sio kila kitu sometimes.
Screenshot_20210717-214714_1.jpg

wote tuseme Amen!
 
Hapo sijaona mwanamke mwerevu bali ni mwanamke mjinga mjinga aliepata nafasi ya kutamba!

Huyo ustadhi ni weak sana aisee mie kanuni ni simple tu nakuhudumia kwa kila kitu utaishi by my rules hutaki nakutimulia mbali. No room for negotiations until i get the finest choice.
 
Nilimwambia hivyo hivyo mtalaka wangu,
Akajifanya kichwa ngumu nikapiga chini hakuamini, alidhani kwa kua nimezaa nae watoto wawili nisingeweza kumwacha ila nikapiga chini maana nilimwambia kabisa, "wewe sikuolei mke wa pili bali nakupiga chini mazima"
 
Hakuamini😂
 
Muhuni kapindua meza, mpemba chaliiiii.
Yaani kuna wanawake akili zao wanazijua wenyewe, sasa huyo single mama amepata sehemu ya kustirika badala akae kwa kutulia analeta upuuzi wake.
Ma single mama sio wa kuoa, kabla ya kuoa jiulize aliemzalisha akamuacha hakuwa na akili?
Aliona hafai ndio mana akamuacha, hakuna mwanaume anaeacha kitu kizuri ila kibaya tu
 
Hapo sijaona mwanamke mwerevu bali ni mwanamke mjinga mjinga aliepata nafasi ya kutamba!

Huyo ustadhi ni weak sana aisee mie kanuni ni simple tu nakuhudumia kwa kila kitu utaishi by my rules hutaki nakutimulia mbali. No room for negotiations until i get the finest choice.
NB hapo chini umeiona mkuu...nimetumia neno mwerevu kama camouflage tu.
 
Nilimwambia hivyo hivyo mtalaka wangu,
Akajifanya kichwa ngumu nikapiga chini hakuamini, alidhani kwa kua nimezaa nae watoto wawili nisingeweza kumwacha ila nikapiga chini maana nilimwambia kabisa, "wewe sikuolei mke wa pili bali nakupiga chini mazima"
Aliamini amekushika huchomoki labda!
 
Ma single mama sio wa kuoa, kabla ya kuoa jiulize aliemzalisha akamuacha hakuwa na akili?
Aliona hafai ndio mana akamuacha, hakuna mwanaume anaeacha kitu kizuri ila kibaya tu
Lakini kuna wanaume ambao nao hupoteza mwelekeo mkuu.
Na pia mtu akijirekebisha anastahiki kizuri...nadhani ndipo imani ya ustaadhi ilipokuwa.... kwamba either jamaa aliemzalisha alipoteza mwelekeo au mwanamke amejirekebisha makosa yake maana alivyomwendea alienda kistaarabu sana na kuonesha yuko tayari kwa kila kitu. Na ile hali ya kutokuwa na mawasiliano na ex wake ndio ilimpa jamaa matumaini zaidi.
All in all, mambo yameshamtokea atajua ana sort vipi.
 
Mkuu kwenye hii Dunia yenye fujo nyingi, wanawake hawataki watu wastaarabu na wakweli,
Lazima uwe bangidu na muongo ndio wanavyopenda
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom