Intelligent Leaders against Smart Leaders | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Intelligent Leaders against Smart Leaders

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by DSN, Apr 2, 2011.

 1. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145

  Intellegent Leaders against Smart Leaders

  Naomba msaada kujua our Leaders ni aina gani ya zao kati ya Intellegent or Smart Leaders jamii inazalisha?
  Hakika kwa upeo wa kiwango changu binafsi naelewa kua kati ya hao wawili mmoja ni zaidi na ni muhimu sana katika ustawi wa jamii yoyote chini ya uso wa dunia hii.
  Naomba kujua kutoka kwa wana JF kwa hakika ili niongeze upeo wa ufahamu zaidi aina ya viongozi tulionao.Msaaaaada pls.
   
Loading...