INTELLIGENSIA wa Tanzania wako wapi?

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
I am not talking about Intelligence organs just in case wengine mtakuwa hamujuui nina maanisha nini maybe definition ya ninachokizungumzia ni:

The intelligentsia (from Russian) or Latin ( intelligentia) which is a social class of people engaged in complex mental and creative labor directed to the development and dissemination of culture, encompassing intellectuals and social groups close to them (e.g., artists and school teachers).
http://www.etymonline.com/index.php?search=intelligentsia&searchmode=none

I mean kwa mimi ambaye niko based in London huwa nakutana nao kwenye cafe's na makazini wengi wao zamani walikwenda kwenye reb brick universities na ilikuwa lazima uwe na PPE degrees lakini sikuhizi huhitaji kuwa na credential hizo kwani a degree, high paying jobs withing public service(civil service),ambao kwa states surely ukiwa DC utawakuta K-Street na of course NY utawakuta wako obsessed na op eds za NY TIMES na hata kama ni ma rightwingers then they will love their New Republic magazines if not American Spectator

Kwa hapa UK wakati nafanyakazi yangu ya kwanza kama intern kwenye shirika moja la media i was so facinated na jamaa jinsi wanavyoinfluence mambo.Na kama kuna mtu yoyote keshafanyakazi kule Whitehall ataelewa kwa nini ile theory ya MUTANTS wa New labour walivyotake over hapa nazungumzia the Milliband and Darlings lot. Yes na maisha wanaishi kwenye hiyo London;s famous post code: N1 au maarufu kama Islington

Sasa sisi Tanzania hatuna kitu maana interms of media zamani ilikuwa gazeti la Rai,au ma interlectuals wetu ambao walikuwa wako outspoken kama akina Nizar Vizram au Issa Shivji au ma poets kama akina Shaaban Robert na Mzee Akida nk

Sasa hivi inasikitisha jinsi magazeti yetu na owners wao walivyokuwa out of touch na saa zingine mambo yanaendelea mpaka unajuliza hivi hawa INTELIGENSTSIA wetu wako wapi?

Is it fair to say kuwa maybe the GOLDEN AGE ya TANZANIAN SOCIETY haijawahi kuexist? lakini mbona sisi tulikuwa ni Mecca ya ukombozi kusimi mwa Africa back in the day?

Hivi kama kweli tunategemea magazeti kama KULIKONI,MWANAHALISI,THIS DAY, TANZANIA DAIMA kuset the agenda then we are doomed its always good to see vitu kama ethinktanktz au Jamii forums japo tuna pishana kwa mengi lakini najua JF sasa hivi ni kama one stop shop kwa waandihsi wetu wavivu wasiotaka kufikiri wala kufanya research ya articles zao.

Kitu kingine nimegundua kuwa hatuna hata ma art crtics ambao wako reliable The same is true for architecture - a controversial building quickly becomes dull, then embarrassingly old-fashioned before becoming a classic mfano mzuri ni lile jengo la Bunge Dodoma lilozungukwa ma ma godowns.

Anyway it would really good to read opinions za wana JF kuhusu hili

Mbona wapo humu....au unajifanya huwajui? Kila siku wanatuambia kuhusu credibility ya JF......
 
Duh!
umenikumbusha hii :

3. Saed Kubenea – Stan Katabalo impostor, only without the education, the sophistication, the principles and steely determination for which Katabalo is remembered for. A little Kingmaker in the making, if only he would be aware that he needs to stop being a pawn in the great political game. He gets direct congratulatory calls from Sumaye, Magufuli, Butiku, Warioba and others whenever his paper comes out. He is welcome at Salim A. Salim house. This is such an awesome achievement for a person who is half-schooled and who has never read any major literary work of non-fiction (and who might not get this joke). That our politicians would embrace Kubenea, who still milks the "acid incident", speaks of the level of their desperation to smear each other (in the name of "saving the country").
 
GF,

Albert Einstein alisema "A foolish respect for authority is the worst enemy of truth" and without truth there is no real progress.

Kuna matatizo mengi, machache ni haya yafuatayo.

1.Intellectuals wetu, ambao ndio hao wako/wanaingia katika intelligentsia, hawana honesty na courage na wamejawa na cowardice. Tuko katika situation ambayo ukikaa na mtu (very influential, and definitely in the know) one on one atakwambia anajua kwamba Seif Sharif Hamad alishinda uchaguzi Zanzibar lakini CCM ilimfanyia manouvre, hii ni open secret.Hatuna principle, sijasikia hata siku moja mtumishi wa serikali msafi kujiuzulu kwa sababu ametofautiana katika principle na bosi wake au policies za kazi yake.Wengi kama si wote tunaamini katika "Mtumikie kafiri upate mtaji wako". Intellectuals ndiyo hao hao wafanyakazi wa serikali na organs zake (wana stake kwenye administration na kwa hiyo hawawezi kui criticize openly), au wafanya biashara wakubwa ambao wana ma skeletons kibao kwenye closets zao, kuanzia kodi zisizolipwa, swindling schemes to you name it, kwa hiyo usitegemee hawa kuja na kitu constructive.

2. Jamii "zilizoendelea" zimefikia hapo at great expense, wamarekani wamepigana vita ku-upreserve muungano wao, Wafaransa wamechinjana sana katika mapinduzi yao and so on and so forth all over Europe and North America.Kwao hawa mambo kama "democracy" "principles" "fairness" and all sio rhjetoric kama kwetu, sisi tumeletewa tu haya mambo, mifumo yetu ilikuwa ya uchifu na u Farao, chifu akisema go go, tunajenga mi piramidi at the expense of millions of lives just for the glory of the Pharaoh, poa.Kwa hiyo hizi habari za kuletewa an imposed democracy na people participation in government ziko very alien, na intellectuals wetu wansoma vitabu na kujua what should take place in principle (CCM MPs should reject stupid bills from their party) lakini hata waliosoma hawafanyi hivyo, kwa sababu hata yule mbunge ambaye hajaenda shule ana some innate Machiavellian nature ya kujua kwamba "you do not cross the party, else the bigwigs will eat you alive". Hatujawa na some "Great Schism" au some "World War" of our own ya kutufanya tu hold dear haya mambo, tunaona principle yetu ni game ya Darwinian survival tu.

3.Kuendekeza Njaa kali. Huwezi kumwambia lecturer wa UDSM ambaye anafuga ng'ombe ku supplement income aikosoe serikali kwa kina au kuanzisha movement ya maana kwa sababu anaogopa atakula wapi.

4.Htujafikia "escape velocity". Unahitaji a substantial "middle class" ili kuweza kuwa na critiques zenye maana.Unaweza kuanzisha an architecture critique magazine, lakini kama hamna watu wa kutosha wenye interest na architecture kwa sababu kina mama wanatembea maili kumi kutafuta kuni na maji, na kina baba wanahangaika kutafuta chakula, nani atasoma hayo magazeti? Hapa tunakuja kwenye a vicious cycle of poverty, hatuendelei kwa sababu hatuna maendeleo yanayojijenga, baya zaidi tunarudi nyuma.

Mambo ni mengi sana, kwa sasa ni haya.
 
It come to my attention before that tanzania has bee to far away derailed on intelgence issues. this is a big problem once intelgence is suppresed by so called gossiping. who doing what , where and how. I puttern my self on act and i formed WNIA WHIS IS WORLD NATURAL INTELGENCE AGENCE. So as it can activated the super intelgence than man kind possed but being neglected in one way or another especially in so called no school/tuition fees to go to school/college/university. THROUGH CREATION GOD HAS EMPORED HUMAN BEING (MAN KIND) FULL OF INTEGENCE OF WHICH REALTIVELY ONE EXCEED THE OTHER IN ONE WAY OR ANOTHER, THAT MEANS NO ONE IS ON TOP NO ONE IS IN BOTTOM. What we need is respecting one onother to what ever abillity they can offer.HOW CAN INTELIGENCIA FLY OFF TANZANIA TO BE THE MOST DEVELOPED COUNTRTY ON EARTH?!?!?!
EASY WE NEED WHOLEHARTED COMMITED TO OUR COUNTRY, WE NEED TO BELEAVE WE CAN. WE NEED TO UNDERSTAND CLEAR WHO IS HUMAN BEING AND WHAT HUMAN BEING CAN DO. WE ARE MADE UP ON GOD'S OWN EMAGE SO WE CAMN MAKE IT.
WHAT IS THE PROFITLESSNESS OF OUR COLOUR ?!?! WE DONT LOVE ONE ANOTHER ?
HOW WE TOST WHEN ONE OF US FALL?! IS NOT THE CLOUR IS OUR MIND SET MAKEUP. THEN WENEED MINDSET ENGINEER TO FORMAT OUR HEADS. WHO IS THIS CAN JESUS TRY?! FOR CHRISTIANS. MOHAMAD HAS ALREADY DID A LOT FOR MUSILM. THEN WHO FOR PARGAN?! I HOPE THE SELVES.
THERE WILL ALWAYS BE THE WAY OUT LETS WAKE UP ONE LOVE
PROF DR ING REV TUMAINI GEOFREY TEMU/LIAMPAWE/MALLANDO

Huu ni ung'eng'e gani tena huu. Mheshimiwa si utumie lugha ya taifa tu, ili sote tuelewane?
 
Kuna taste flani ya ubunifu inapotea na kuna baki ufanywaji kazi kimazoea hadi mahal ambapo kunapaswa kuwa na ubunifu.

Nimeona Mwananchi linajitahidi mara kwa mara kubadilika na kuja na taste mpya...bado kwenye idara nyingi unahitajika ubunifu na uwezo wa maarifa
 
ila tunawachukuliaje wale wasomi ambao kila kukicha wanakosoa tu yaani kila kitu kwao kama kero wao wakiwa na falsafa baadhi kama za umarxist!?

jamaa huwa wanaboa sana sometimes...!

pia vijana wasomi wapya wengi waoga sana kudiriki kutoa msimamo wao hususan katika masuala ya msingi wakiogopa kujikoseshea bahati!
 
Wanaokosaoa tu poa kabisa.

Falsafa yao ni kwamba, serikali iko pale kufanya mambo yaende vizuri.Ukiona mambo yanaenda vizuri, well kazi ya serikali.Mambo yasipoenda vizuri hapo ndipo kazi ya msomi kukosoa.In the current state of affairs, waache wakoseoe tu kwa sababu kukosoa huku ni kujenga kwa njia ya kuonmyesha udhaifu, sasa sehemu ambayo hapana udhaifu na watu wameshafanya vizuri utapajenga vipi?
 
It come to my attention before that tanzania has bee to far away derailed on intelgence issues. this is a big problem once intelgence is suppresed by so called gossiping. who doing what , where and how. I puttern my self on act and i formed WNIA WHIS IS WORLD NATURAL INTELGENCE AGENCE. So as it can activated the super intelgence than man kind possed but being neglected in one way or another especially in so called no school/tuition fees to go to school/college/university. THROUGH CREATION GOD HAS EMPORED HUMAN BEING (MAN KIND) FULL OF INTEGENCE OF WHICH REALTIVELY ONE EXCEED THE OTHER IN ONE WAY OR ANOTHER, THAT MEANS NO ONE IS ON TOP NO ONE IS IN BOTTOM. What we need is respecting one onother to what ever abillity they can offer.HOW CAN INTELIGENCIA FLY OFF TANZANIA TO BE THE MOST DEVELOPED COUNTRTY ON EARTH?!?!?!
EASY WE NEED WHOLEHARTED COMMITED TO OUR COUNTRY, WE NEED TO BELEAVE WE CAN. WE NEED TO UNDERSTAND CLEAR WHO IS HUMAN BEING AND WHAT HUMAN BEING CAN DO. WE ARE MADE UP ON GOD'S OWN EMAGE SO WE CAMN MAKE IT.
WHAT IS THE PROFITLESSNESS OF OUR COLOUR ?!?! WE DONT LOVE ONE ANOTHER ?
HOW WE TOST WHEN ONE OF US FALL?! IS NOT THE CLOUR IS OUR MIND SET MAKEUP. THEN WENEED MINDSET ENGINEER TO FORMAT OUR HEADS. WHO IS THIS CAN JESUS TRY?! FOR CHRISTIANS. MOHAMAD HAS ALREADY DID A LOT FOR MUSILM. THEN WHO FOR PARGAN?! I HOPE THE SELVES.
THERE WILL ALWAYS BE THE WAY OUT LETS WAKE UP ONE LOVE
PROF DR ING REV TUMAINI GEOFREY TEMU/LIAMPAWE/MALLANDO

Profesa lugha yako ngumu kueleweka!!!
 
GF,

Albert Einstein alisema "A foolish respect for authority is the worst enemy of truth" and without truth there is no real progress.

Kuna matatizo mengi, machache ni haya yafuatayo.

1.Intellectuals wetu, ambao ndio hao wako/wanaingia katika intelligentsia, hawana honesty na courage na wamejawa na cowardice. Tuko katika situation ambayo ukikaa na mtu (very influential, and definitely in the know) one on one atakwambia anajua kwamba Seif Sharif Hamad alishinda uchaguzi Zanzibar lakini CCM ilimfanyia manouvre, hii ni open secret.Hatuna principle, sijasikia hata siku moja mtumishi wa serikali msafi kujiuzulu kwa sababu ametofautiana katika principle na bosi wake au policies za kazi yake.Wengi kama si wote tunaamini katika "Mtumikie kafiri upate mtaji wako". Intellectuals ndiyo hao hao wafanyakazi wa serikali na organs zake (wana stake kwenye administration na kwa hiyo hawawezi kui criticize openly), au wafanya biashara wakubwa ambao wana ma skeletons kibao kwenye closets zao, kuanzia kodi zisizolipwa, swindling schemes to you name it, kwa hiyo usitegemee hawa kuja na kitu constructive.

2. Jamii "zilizoendelea" zimefikia hapo at great expense, wamarekani wamepigana vita ku-upreserve muungano wao, Wafaransa wamechinjana sana katika mapinduzi yao and so on and so forth all over Europe and North America.Kwao hawa mambo kama "democracy" "principles" "fairness" and all sio rhjetoric kama kwetu, sisi tumeletewa tu haya mambo, mifumo yetu ilikuwa ya uchifu na u Farao, chifu akisema go go, tunajenga mi piramidi at the expense of millions of lives just for the glory of the Pharaoh, poa.Kwa hiyo hizi habari za kuletewa an imposed democracy na people participation in government ziko very alien, na intellectuals wetu wansoma vitabu na kujua what should take place in principle (CCM MPs should reject stupid bills from their party) lakini hata waliosoma hawafanyi hivyo, kwa sababu hata yule mbunge ambaye hajaenda shule ana some innate Machiavellian nature ya kujua kwamba "you do not cross the party, else the bigwigs will eat you alive". Hatujawa na some "Great Schism" au some "World War" of our own ya kutufanya tu hold dear haya mambo, tunaona principle yetu ni game ya Darwinian survival tu.

3.Kuendekeza Njaa kali. Huwezi kumwambia lecturer wa UDSM ambaye anafuga ng'ombe ku supplement income aikosoe serikali kwa kina au kuanzisha movement ya maana kwa sababu anaogopa atakula wapi.

4.Htujafikia "escape velocity". Unahitaji a substantial "middle class" ili kuweza kuwa na critiques zenye maana.Unaweza kuanzisha an architecture critique magazine, lakini kama hamna watu wa kutosha wenye interest na architecture kwa sababu kina mama wanatembea maili kumi kutafuta kuni na maji, na kina baba wanahangaika kutafuta chakula, nani atasoma hayo magazeti? Hapa tunakuja kwenye a vicious cycle of poverty, hatuendelei kwa sababu hatuna maendeleo yanayojijenga, baya zaidi tunarudi nyuma.

Mambo ni mengi sana, kwa sasa ni haya.

Interesting observations you just reminded me this quote:
4. Issa Shivji – he gets a mention for nostalgic and sentimental reasons. In this post-ideology messy situation, the aging ideologue has become irrelevant as an intellectual and pundit except when Absalom Kibanda and Sakina Dattoo want to fill up columns. Prof., the workers of the world have figured out that the Juche Idea is a sham, and they have now resorted to radical evangelicism and Rwakatare's "prosperity gospel" to see the end of the tunnel.

source:
https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=13378&highlight=Stan+Katabalo

Conventional wisdom inasema kuwa the true intelligentsia lie very low. High brow culture vultures and and clever people are not widely appreciated in the TANZANIA, and there's also a history of feuding between the disparate brain cells, so to speak

Or so I'm told.

That said, I think - we seem to have a tradition in TZ of a) (self-)deprecation of intellect and b) a rather disparate approach to the various types of intellectual pursuit. The brightest person I have ever known (I was at school with him, and friends for some years afterwards until we disagreed on some things) has been close to the centre of political power for more than 15 years, with a couple of sabbaticals in world economic/financial organisations. But he's pretty much unknown, and I wouldn't class him as being 'of the Intelligentsia' in any case. Scholars and academics in Tanzania I have known aren't, either, however brilliant.

I am often astonished at the power of intellect and breadth of culture among some Humanists experts - especially fellow in IR. But who listens to them, eh?
 
Nas paraphrased Socrates and said "Those who know don't talk, those who talk don't know a thing"

Those who really can lead, critique etc etc, understand the system so well and know what it means (in terms of hardships and sacrifices) to stand up, so they don't.

Those who stand up are mere mediocres like me (taking your advice) and either don't have the right doze and quality of information to make them effective (critics) don't have the brains and commitment to be effective (the Kikwetes of our world) and so on and so forth.

Namjua mtu mmoja ambaye kama angekuwa mbunge bongo bunge lingewaka moto, hususan kwa issues nzito, lakini alingalia akaona ili kuwa mbunge bongo inabidi to a large extent u sign na mafisadi wa CCM. Akaona bora lawama kuliko fedheha.

Ndiyo hali yetu hiyo.
 
I am not talking about Intelligence organs just in case wengine mtakuwa hamujuui nina maanisha nini maybe definition ya ninachokizungumzia ni:

I mean kwa mimi ambaye niko based in London huwa nakutana nao kwenye cafe's na makazini wengi wao zamani walikwenda kwenye reb brick universities na ilikuwa lazima uwe na PPE degrees lakini sikuhizi huhitaji kuwa na credential hizo kwani a degree, high paying jobs withing public service(civil service),ambao kwa states surely ukiwa DC utawakuta K-Street na of course NY utawakuta wako obsessed na op eds za NY TIMES na hata kama ni ma rightwingers then they will love their New Republic magazines if not American Spectator

Kwa hapa UK wakati nafanyakazi yangu ya kwanza kama intern kwenye shirika moja la media i was so facinated na jamaa jinsi wanavyoinfluence mambo.Na kama kuna mtu yoyote keshafanyakazi kule Whitehall ataelewa kwa nini ile theory ya MUTANTS wa New labour walivyotake over hapa nazungumzia the Milliband and Darlings lot. Yes na maisha wanaishi kwenye hiyo London;s famous post code: N1 au maarufu kama Islington

Sasa sisi Tanzania hatuna kitu maana interms of media zamani ilikuwa gazeti la Rai,au ma interlectuals wetu ambao walikuwa wako outspoken kama akina Nizar Vizram au Issa Shivji au ma poets kama akina Shaaban Robert na Mzee Akida nk

Sasa hivi inasikitisha jinsi magazeti yetu na owners wao walivyokuwa out of touch na saa zingine mambo yanaendelea mpaka unajuliza hivi hawa INTELIGENSTSIA wetu wako wapi? Is it fair to say kuwa maybe the GOLDEN AGE ya TANZANIAN SOCIETY haijawahi kuexist? lakini mbona sisi tulikuwa ni Mecca ya ukombozi kusimi mwa Africa back in the day?

Hivi kama kweli tunategemea magazeti kama KULIKONI,MWANAHALISI,THIS DAY, TANZANIA DAIMA kuset the agenda then we are doomed its always good to see vitu kama ethinktanktz au Jamii forums japo tuna pishana kwa mengi lakini najua JF sasa hivi ni kama one stop shop kwa waandihsi wetu wavivu wasiotaka kufikiri wala kufanya research ya articles zao.

Kitu kingine nimegundua kuwa hatuna hata ma art crtics ambao wako reliable The same is true for architecture - a controversial building quickly becomes dull, then embarrassingly old-fashioned before becoming a classic mfano mzuri ni lile jengo la Bunge Dodoma lilozungukwa ma ma godowns.

Anyway it would really good to read opinions za wana JF kuhusu hili

'Intelligentsia wa watanzania wako wapi?' Is it really?

We don’t need intellectuals wa watanzania. We ourselves are more intelligent than those you think are intellects. Talk about RAI do you really know the brain behind it?

Think of it why even mention that you are in London – UK ‘kasumba ya mkoloni I presume’. Come on GT we know your beef with Kulikoni and This day ‘cause of your friend or what should I say Dau of NSSF. If you can do better why can't you start a tabloid and eh call it 'Politics theory' just like game theory.

Dau has lost big time and should be sacked forthwith – FAILED miserably. Imagine if he would have been a governor of BOT the way you wanted?

Tanzania is in a phase to weed all rotten bastards and soon rather than latter we will reclaim our destiny. Don't use your little brain and think you can deter the momentum started for the sake of your selfishness.
 
interesting...
 
I am not talking about Intelligence organs just in case wengine mtakuwa hamujuui nina maanisha nini maybe definition ya ninachokizungumzia ni:

I mean kwa mimi ambaye niko based in London huwa nakutana nao kwenye cafe's na makazini wengi wao zamani walikwenda kwenye reb brick universities na ilikuwa lazima uwe na PPE degrees lakini sikuhizi huhitaji kuwa na credential hizo kwani a degree, high paying jobs withing public service(civil service),ambao kwa states surely ukiwa DC utawakuta K-Street na of course NY utawakuta wako obsessed na op eds za NY TIMES na hata kama ni ma rightwingers then they will love their New Republic magazines if not American Spectator

Kwa hapa UK wakati nafanyakazi yangu ya kwanza kama intern kwenye shirika moja la media i was so facinated na jamaa jinsi wanavyoinfluence mambo.Na kama kuna mtu yoyote keshafanyakazi kule Whitehall ataelewa kwa nini ile theory ya MUTANTS wa New labour walivyotake over hapa nazungumzia the Milliband and Darlings lot. Yes na maisha wanaishi kwenye hiyo London;s famous post code: N1 au maarufu kama Islington

Sasa sisi Tanzania hatuna kitu maana interms of media zamani ilikuwa gazeti la Rai,au ma interlectuals wetu ambao walikuwa wako outspoken kama akina Nizar Vizram au Issa Shivji au ma poets kama akina Shaaban Robert na Mzee Akida nk

Sasa hivi inasikitisha jinsi magazeti yetu na owners wao walivyokuwa out of touch na saa zingine mambo yanaendelea mpaka unajuliza hivi hawa INTELIGENSTSIA wetu wako wapi?

Is it fair to say kuwa maybe the GOLDEN AGE ya TANZANIAN SOCIETY haijawahi kuexist? lakini mbona sisi tulikuwa ni Mecca ya ukombozi kusimi mwa Africa back in the day?

Hivi kama kweli tunategemea magazeti kama KULIKONI,MWANAHALISI,THIS DAY, TANZANIA DAIMA kuset the agenda then we are doomed its always good to see vitu kama ethinktanktz au Jamii forums japo tuna pishana kwa mengi lakini najua JF sasa hivi ni kama one stop shop kwa waandihsi wetu wavivu wasiotaka kufikiri wala kufanya research ya articles zao.

Kitu kingine nimegundua kuwa hatuna hata ma art crtics ambao wako reliable The same is true for architecture - a controversial building quickly becomes dull, then embarrassingly old-fashioned before becoming a classic mfano mzuri ni lile jengo la Bunge Dodoma lilozungukwa ma ma godowns.

Anyway it would really good to read opinions za wana JF kuhusu hili

Kaka mbona jibu unalo......Intellegensia mpo LONDON mnajenga na kulinda ubeberu wa MALKIA.....

Tanzanianjema
 
huu Ni Ung'eng'e Gani Tena Huu. Mheshimiwa Si Utumie Lugha Ya Taifa Tu, Ili Sote Tuelewane?

Miratkad Nadhani Hutakiwi Kwenye Baraza Hili Jua La Bongo Lime-lost Ubongo Wako Kiasi Hata Hujui Wakati Gani Wa Mchezo Na Wakati Gani Wa Vituko. Tunajadili Kuhusu Nchi Hapa Tunajadili Kuhusu Hatima Za Watu Kalibu Million 40 Halafu Wewe Unatuonyesha Jinsi Ulivyo Mbilikimo Wa Akili Yuko Huru Geofrey Kutumia Lugha Yoyote Ile Jamaa Amatoa Pointi Matata Kabisa Zinatia Moyo .
 
Acha KASUMBA na lugha za watu na upunguani wewe. Kama huziwezi haina haja ya kuitumia tutaelewa kiswahili pia. No offense but the English the guy used is so POOR to an extent that it renders his message incomprehensible. Completely "Broken English", poor punctuation, poor style etc. I think any message must be clearly presented. I totally understand that what people are discussing here are very serious matters, but by asking him to write clearly I think it is to his and our advantage, stupid.
 
Back
Top Bottom