Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 845
I am not talking about Intelligence organs just in case wengine mtakuwa hamujuui nina maanisha nini maybe definition ya ninachokizungumzia ni:
I mean kwa mimi ambaye niko based in London huwa nakutana nao kwenye cafe's na makazini wengi wao zamani walikwenda kwenye reb brick universities na ilikuwa lazima uwe na PPE degrees lakini sikuhizi huhitaji kuwa na credential hizo kwani a degree, high paying jobs withing public service(civil service),ambao kwa states surely ukiwa DC utawakuta K-Street na of course NY utawakuta wako obsessed na op eds za NY TIMES na hata kama ni ma rightwingers then they will love their New Republic magazines if not American Spectator
Kwa hapa UK wakati nafanyakazi yangu ya kwanza kama intern kwenye shirika moja la media i was so facinated na jamaa jinsi wanavyoinfluence mambo.Na kama kuna mtu yoyote keshafanyakazi kule Whitehall ataelewa kwa nini ile theory ya MUTANTS wa New labour walivyotake over hapa nazungumzia the Milliband and Darlings lot. Yes na maisha wanaishi kwenye hiyo London;s famous post code: N1 au maarufu kama Islington
Sasa sisi Tanzania hatuna kitu maana interms of media zamani ilikuwa gazeti la Rai,au ma interlectuals wetu ambao walikuwa wako outspoken kama akina Nizar Vizram au Issa Shivji au ma poets kama akina Shaaban Robert na Mzee Akida nk
Sasa hivi inasikitisha jinsi magazeti yetu na owners wao walivyokuwa out of touch na saa zingine mambo yanaendelea mpaka unajuliza hivi hawa INTELIGENSTSIA wetu wako wapi?
Is it fair to say kuwa maybe the GOLDEN AGE ya TANZANIAN SOCIETY haijawahi kuexist? lakini mbona sisi tulikuwa ni Mecca ya ukombozi kusimi mwa Africa back in the day?
Hivi kama kweli tunategemea magazeti kama KULIKONI,MWANAHALISI,THIS DAY, TANZANIA DAIMA kuset the agenda then we are doomed its always good to see vitu kama ethinktanktz au Jamii forums japo tuna pishana kwa mengi lakini najua JF sasa hivi ni kama one stop shop kwa waandihsi wetu wavivu wasiotaka kufikiri wala kufanya research ya articles zao.
Kitu kingine nimegundua kuwa hatuna hata ma art crtics ambao wako reliable The same is true for architecture - a controversial building quickly becomes dull, then embarrassingly old-fashioned before becoming a classic mfano mzuri ni lile jengo la Bunge Dodoma lilozungukwa ma ma godowns.
Anyway it would really good to read opinions za wana JF kuhusu hili
The intelligentsia (from Russian) or Latin ( intelligentia) which is a social class of people engaged in complex mental and creative labor directed to the development and dissemination of culture, encompassing intellectuals and social groups close to them (e.g., artists and school teachers).
http://www.etymonline.com/index.php?search=intelligentsia&searchmode=none