Intelijensia yetu makengeza na kukamatwa kwa dege SA

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
10,526
13,013
Utweza kuwadanganya kina BASHITE tu,
uKWELI ni kwamba Tanzania ipo chini ya kiongozi hovyo kuwahi kuwepo. mnadanya watu kila siku na SABABU ZA KI INTELIJENSIA mkidhani hatujui
mnaintelijensia ya kuwakamata kina mdee tu nyie
1] inelijensia ilikuwa wapi kushindwa kujua kuwa watu wangeandamana ?
MNtia aibu washamba wa kanda ya ziwa
 
Kwa kweli ni Aibu ... wameshindwa hata kudukua na kujua kuwa kuna weza kutokea shinikizo la kukamatwa kwa ndege hivyo wabadilishe route
Hiyo ilikuwa ni ngumu sana Dada
Ni kama vile umeshtukizwa tu
 
Back
Top Bottom