Intelijensia ya Polisi haikuona mkutano mkuu wa CUF kungekuwa na uvunjifu wa amani?

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
56,313
92,439
Hili ni swali kwako IGP Mangu, Intelligence yangu raia wa kawaida mimi Matola nililiona hili hata ukiangalia Facebook waliochapisha Tshirt na wanaojiita sijui wafia chama.

Je polisi intelligence yenu ni kwenye maandamano tu? Na inakuwaje wahuni wachache wavunje mkutano kwa nini CUF haikuwa ulinzi mkubwa kama ule waliopewa CCM Dodoma baada ya kujambishwa tu na BAVICHA?
 
Sasa mambo ya ndani ya CUF wataingiliaje Polisi? Ule ulikuwa ni mkutano wa ndani. Kama Polisi wangewazuia mngeanza kulalamika
 
Back
Top Bottom