Intelijensia: Simba itatolewa kwa kulazimishwa suluhu

Wivu wa kike huu.

Beki.unayoisema ndiyo beki iliyofungwa magoli machache zaidi katika premiere league.
Kupoteza mechi mbili haiwezi kuwa kigezo cha uchambuzi wako zaidi ya kuongozwa na kiroho papo
Great Mikia for the Good Fight . But bado hamna kikosi cha maana. Sidhani kama hiki kikosi kitawapeleka robo fainali. Mtaishia katikati Tu . Sijaona kama mna Beki ya kucheza As Vita , TP Mazembe et etc
 
Great Mikia for the Good Fight . But bado hamna kikosi cha maana. Sidhani kama hiki kikosi kitawapeleka robo fainali. Mtaishia katikati Tu . Sijaona kama mna Beki ya kucheza As Vita , TP Mazembe et etc
We jamaa Simba inakutesa Sana.
 
Intelijensia uchwara na maneno mengi page nzima halau upuuzi mtupu
Ni vyema wanasimba wenzangu tukaanza kujiandaa kisaikolojia.

Intelijensia yetu imefanikiwa kufika hadi Hotelini na kufanya udadisi katika lugha ya ki ZIMBABWE . Wachezaji wote wa Platnum wanataka kuandika Historia ya kuingia makundi kwa mwaka huu. Wamekuja kufanya DIE HARD GAME na kuhakikisha kwamba goli la kwanza linaingia kipindi cha kwanza.

Mchezo wao utakuwa ni kulinda na kufanya mashambulizi ya kustukiza kwa kusababisha

Safari ya SSC imefika ukingoni. Kwanza, mpaka sasa Simba haina First Eleven ya uhakika kama ilivyokuwa kwa Uchebe. Pili, wachezaji wa SSC hawana spirit ya ku fight uwanjani to the last blood hii imepelekea mara nyingi huanza kufungwa goli katika dakika za mwanzo kabisa na kupata kibarua cha kusawazisha dakika za mwisho mwisho za mchezo.

Ifahamike kwamba Simba haikuitoa Plateau kimpira, bali Plateau ilitoka kwa KARMA.

Ni uzembe kabisa kuamini kwamba Platnum atakuja Mkapa na kufungwa goli mbili; Platnum imekuja kusonga mbele na wachezaji wote wapo katika ari hiyo, pili hakuna kikosi cha Simba kitakachoweza kusababisha, yaani Watacheza cheza na pasi nyingi huku wakienjoi Biriani la Chama na mwisho wa siku watatolewa.

Wanasimba wenzangu huo ndio ukweli na tuanze kuuishi ili tarehe 6 tusisikie kuwa kuna watu WAMEKUFA au KUZIMIA. Tabia ya KUFA ni kwasababu watu huaminishwa upuuzi na MANARA. Mpira sio kelele na blah blah, mpira ni KAZI na kazi hiyo hufanyika uwanjani, sio kwenye mitandao au kwenye makusanyo ya waandishi wa Habari. Ni upuuzi.

Hatuna kikosi; hakuna kocha, hatuna wachezaji watakaoweza KUSABABISHA ila wapo wachezaji watakao cheza cheza pasi za kupoteza muda na biriani lisilokuwa na faida yoyote katika kusonga mbele.

Undondocha wa Mo uliotujaa na kushindwa kuuona ukweli kwamba Mo is BIG TIME na hana ishu. Inamaana Mo alikosa wachezaji Africa wenye QUALITY mpaka kwenda kumsajili mchezaji asie na nidhamu ambae wala hana Woow Factor kisa tu anatokea Yanga na alimtungua Garasa Manula .

Kulikuwa kuna haja gani kumchukua Kishingo; Kocha ambae hana background yoyote ya mpira na wala hakuna mahala kwamba ameshawahi kuchukua kombe lolote. Kishingo is a BIG TIME!

Kulikuwa na haja gani kwenda kuchukua wachezaji wa brazil waliokuwa wanacheza mechi za mchangani. Ina maana Africa hakuna wachezaji wenye viwango alivyovitaka? Haya yote ameyafanya bila ya kushirikisha technical Support. Yeye ndiyo Tajiri, yeye ndiyo kocha, yeye ndiyo mwenyekiti na yeye ndiyo anaiua timu na mipango yake HEWA.

Timu inatumika Kibiashara; inatumia muda mwingi kujitangaza badala ya kutumia muda mwingi kuunda kikosi chenye tija kwa michuano ya KIMATAIFA. Sasa MSIBA umeshakuja na kwa hakika SSC inatolewa kupitia DURU za KI-INTELIJENSIA.

MPIRA sio dua, mpira ni uwanjani na safari ya matumaini kwa kikosi kipana itaishia hapo.

Mark My Words
 
Great Mikia for the Good Fight . But bado hamna kikosi cha maana. Sidhani kama hiki kikosi kitawapeleka robo fainali. Mtaishia katikati Tu . Sijaona kama mna Beki ya kucheza As Vita , TP Mazembe et etc
Kwani intelensia yako ilihusu mechi ya Simba dhidi ya hao Vita na Mazembe au ilihusu Platinum? Mbona unataka kuua soo? Aibu kubwa, ningekuwa mimi ningekaa pembeni kwa muda, kuliko kuja na unabii mpya wa Vita na Mazembe. Aibu kwako na watoto wako mkuu!
 
Jamaa alieandika uzi huu lazma aurudie na ajitafakari mara mbili mbili lazma atakua na mattzo mahali sio bure na nahisi hata 0712... Haina yale marinda kwa mm ni hilo tu.
 
Back
Top Bottom