Intelijensia: Simba itatolewa kwa kulazimishwa suluhu

Mk54

JF-Expert Member
Dec 29, 2016
1,997
3,933
Ni vyema wanasimba wenzangu tukaanza kujiandaa kisaikolojia.

Intelijensia yetu imefanikiwa kufika hadi Hotelini na kufanya udadisi katika lugha ya ki ZIMBABWE . Wachezaji wote wa Platnum wanataka kuandika Historia ya kuingia makundi kwa mwaka huu. Wamekuja kufanya DIE HARD GAME na kuhakikisha kwamba goli la kwanza linaingia kipindi cha kwanza.

Mchezo wao utakuwa ni kulinda na kufanya mashambulizi ya kustukiza kwa kusababisha

Safari ya SSC imefika ukingoni. Kwanza, mpaka sasa Simba haina First Eleven ya uhakika kama ilivyokuwa kwa Uchebe. Pili, wachezaji wa SSC hawana spirit ya ku fight uwanjani to the last blood hii imepelekea mara nyingi huanza kufungwa goli katika dakika za mwanzo kabisa na kupata kibarua cha kusawazisha dakika za mwisho mwisho za mchezo.

Ifahamike kwamba Simba haikuitoa Plateau kimpira, bali Plateau ilitoka kwa KARMA.

Ni uzembe kabisa kuamini kwamba Platnum atakuja Mkapa na kufungwa goli mbili; Platnum imekuja kusonga mbele na wachezaji wote wapo katika ari hiyo, pili hakuna kikosi cha Simba kitakachoweza kusababisha, yaani Watacheza cheza na pasi nyingi huku wakienjoi Biriani la Chama na mwisho wa siku watatolewa.

Wanasimba wenzangu huo ndio ukweli na tuanze kuuishi ili tarehe 6 tusisikie kuwa kuna watu WAMEKUFA au KUZIMIA. Tabia ya KUFA ni kwasababu watu huaminishwa upuuzi na MANARA. Mpira sio kelele na blah blah, mpira ni KAZI na kazi hiyo hufanyika uwanjani, sio kwenye mitandao au kwenye makusanyo ya waandishi wa Habari. Ni upuuzi.

Hatuna kikosi; hakuna kocha, hatuna wachezaji watakaoweza KUSABABISHA ila wapo wachezaji watakao cheza cheza pasi za kupoteza muda na biriani lisilokuwa na faida yoyote katika kusonga mbele.

Undondocha wa Mo uliotujaa na kushindwa kuuona ukweli kwamba Mo is BIG TIME na hana ishu. Inamaana Mo alikosa wachezaji Africa wenye QUALITY mpaka kwenda kumsajili mchezaji asie na nidhamu ambae wala hana Woow Factor kisa tu anatokea Yanga na alimtungua Garasa Manula .

Kulikuwa kuna haja gani kumchukua Kishingo; Kocha ambae hana background yoyote ya mpira na wala hakuna mahala kwamba ameshawahi kuchukua kombe lolote. Kishingo is a BIG TIME!

Kulikuwa na haja gani kwenda kuchukua wachezaji wa brazil waliokuwa wanacheza mechi za mchangani. Ina maana Africa hakuna wachezaji wenye viwango alivyovitaka? Haya yote ameyafanya bila ya kushirikisha technical Support. Yeye ndiyo Tajiri, yeye ndiyo kocha, yeye ndiyo mwenyekiti na yeye ndiyo anaiua timu na mipango yake HEWA.

Timu inatumika Kibiashara; inatumia muda mwingi kujitangaza badala ya kutumia muda mwingi kuunda kikosi chenye tija kwa michuano ya KIMATAIFA. Sasa MSIBA umeshakuja na kwa hakika SSC inatolewa kupitia DURU za KI-INTELIJENSIA.

MPIRA sio dua, mpira ni uwanjani na safari ya matumaini kwa kikosi kipana itaishia hapo.

Mark My Words
 
Platinum wataponzwa na uoga wao watakaa nyuma muda wote na kupiga counter ilo itakua kosa kwani home advantage itatubeba Simba na tunaweza tukatumia ile fomesheni aliyocheza na ihefu ambayo mashabiki wa Chelsea hawatoisahau msimu ule wanachukua EPL fomesheni ya back 3 na kutumia Tshabalala na Kapombe kuipa nguvu sehemu ya kiungo na kuwa na wachezaji wengi kwenye eneo la katikati ambao kwao itakua suprise kwani hawajatuona tukicheza ivyo.

Ukimtoa perfect chikwende ambae ni msumbufu Platinum fc hawana mfungaji hatari msimu ambao wamechukua ubingwa walicheza mechi 34 na kufunga goli 34 ...kati hata akicheza Ndemla na Bwalya kwakuwa wanakuja kukaa nyuma hawawezi kuvumilia kukimbiizwa dakika zote 90

#WIDA
 
Haya tuambie kwenye hiyo mechi kutakuwa na kona ngapi, kadi za njano na nyekundu ngapi, penati ngapi. Kama hayo huwezi kujua huoni kuwa umeandika utopolo.
 
Ni vyema wanasimba wenzangu tukaanza kujiandaa kisaikolojia.

Intelijensia yetu imefanikiwa kufika hadi Hotelini na kufanya udadisi katika lugha ya ki ZIMBABWE . Wachezaji wote wa Platnum wanataka kuandika Historia ya kuingia makundi kwa mwaka huu. Wamekuja kufanya DIE HARD GAME na kuhakikisha kwamba goli la kwanza linaingia kipindi cha kwanza.

Mchezo wao utakuwa ni kulinda na kufanya mashambulizi ya kustukiza kwa kusababisha

Safari ya SSC imefika ukingoni. Kwanza, mpaka sasa Simba haina First Eleven ya uhakika kama ilivyokuwa kwa Uchebe. Pili, wachezaji wa SSC hawana spirit ya ku fight uwanjani to the last blood hii imepelekea mara nyingi huanza kufungwa goli katika dakika za mwanzo kabisa na kupata kibarua cha kusawazisha dakika za mwisho mwisho za mchezo.

Ifahamike kwamba Simba haikuitoa Plateau kimpira, bali Plateau ilitoka kwa KARMA.

Ni uzembe kabisa kuamini kwamba Platnum atakuja Mkapa na kufungwa goli mbili; Platnum imekuja kusonga mbele na wachezaji wote wapo katika ari hiyo, pili hakuna kikosi cha Simba kitakachoweza kusababisha, yaani Watacheza cheza na pasi nyingi huku wakienjoi Biriani la Chama na mwisho wa siku watatolewa.

Wanasimba wenzangu huo ndio ukweli na tuanze kuuishi ili tarehe 6 tusisikie kuwa kuna watu WAMEKUFA au KUZIMIA. Tabia ya KUFA ni kwasababu watu huaminishwa upuuzi na MANARA. Mpira sio kelele na blah blah, mpira ni KAZI na kazi hiyo hufanyika uwanjani, sio kwenye mitandao au kwenye makusanyo ya waandishi wa Habari. Ni upuuzi.

Hatuna kikosi; hakuna kocha, hatuna wachezaji watakaoweza KUSABABISHA ila wapo wachezaji watakao cheza cheza pasi za kupoteza muda na biriani lisilokuwa na faida yoyote katika kusonga mbele.

Undondocha wa Mo uliotujaa na kushindwa kuuona ukweli kwamba Mo is BIG TIME na hana ishu. Inamaana Mo alikosa wachezaji Africa wenye QUALITY mpaka kwenda kumsajili mchezaji asie na nidhamu ambae wala hana Woow Factor kisa tu anatokea Yanga na alimtungua Garasa Manula .

Kulikuwa kuna haja gani kumchukua Kishingo; Kocha ambae hana background yoyote ya mpira na wala hakuna mahala kwamba ameshawahi kuchukua kombe lolote. Kishingo is a BIG TIME!

Kulikuwa na haja gani kwenda kuchukua wachezaji wa brazil waliokuwa wanacheza mechi za mchangani. Ina maana Africa hakuna wachezaji wenye viwango alivyovitaka? Haya yote ameyafanya bila ya kushirikisha technical Support. Yeye ndiyo Tajiri, yeye ndiyo kocha, yeye ndiyo mwenyekiti na yeye ndiyo anaiua timu na mipango yake HEWA.

Timu inatumika Kibiashara; inatumia muda mwingi kujitangaza badala ya kutumia muda mwingi kuunda kikosi chenye tija kwa michuano ya KIMATAIFA. Sasa MSIBA umeshakuja na kwa hakika SSC inatolewa kupitia DURU za KI-INTELIJENSIA.

MPIRA sio dua, mpira ni uwanjani na safari ya matumaini kwa kikosi kipana itaishia hapo.

Mark My Words
Vipiii Kaka nmerudiiitenaa na ujingaaa wanguuu
 
Mbona zimekuwa 4 mkuu
 
Back
Top Bottom