Intelijensia Ilivyoweza Okoa TAIFA lisiteketezwe katika Vita ya Siku 6 (Six Day War)

Ndio maana sasa hivi wamebaki kujianzishia makundi ya kigaidi tu kwa mgongo wa dini!

Na mojawapo ya sababu za kuanzishwa makundi haya ya kigaidi ni baada ya warabu kwa umoja wao kuona kuwa hawatakuja kufanikiwa kuwaondoa hao jamaa hapo, sana sana wanapoanzisha vita wanawafanya waisraeli wateke ardhi zaidi katika nchi na maeneo ya waarabu. Kwahiyo wakaona njia pekee ni ugaidi kupitia dini. Na nchi kama Iran ndiyo iko mstari wa mbele kufadhili makundi haya.
 
Ukweli ni kuwa sio mwanajeshi aliyevujisha siri hiyo. Bali Israel ilitumia silaha nzito kupata taarifa za kijasusi, silaha yenyewe inaitwa mwanamke, nadhani umenielewa ile kitu inayoitwa The Power of the Woman, isikie kwenye radio.

Inaitwa Bottom power
 
Mungu alipowapatia waisrael kanani( Leo Israel) haikuwa nchi tupu, kula kuwa na wakazi( Leo wapalestina). Mungu aliwambia wawaangamize watu wote watakao wakuta ili waikalie ardhi hiyo lakini wao walipuuza kwa kuwaach wengine ambao Leo ndiyo wapalestina!! Taifa la Israel limekuwa katika vita baada ya kutoka misri ( exodus) na kufanya taaifa la Israel (ktk nchi ya ahadi au kanani) yani tangu Saul wakipigana na wafilisiti, Daud, kuvamiwa na ashuru( leo sryria) ,babylon (leo iraq), na kisha kuvamiwa dola ya rumi, na badaye tena kuvamiwa kwa Yerusalem na rumi ( Baada ya Yesu) ,na kisha kutawajikia katika bara la ulaya kipindi cha WWI& WWII!! Wapaletina walichukua nafasi hiyo ya kutawanyika kwa Israel kujitanua mpaka Jerusalem!! That's is Biblical view ya mgogoro wa Israel na Palestina!! Lakini pia kuna falsafasa nyingi za middle east conflict! Sorry kwa mtiririko mbay,,,I use phone!!
Asante Mkuu kwa maelezo.
 
Anaitwa Yoni Netanyahu pamoja na mafanikio makubwa alikuja kupigwa risasi na snipper wa kiganda dakika za mwisho.Lkn wenzake waliendeleza falsafa yao ya "we will never live a man behind whether dead or alive" walimchukua akiwa majeruhi na alifariki ktk ndege on their way back home
 
Muungano wa Warabu kwa sasa ni mgumu kuliko kipindi chochote kwa sababu ya bifu kati yao
 
hao jamaa wazalendo sana...
ndio maana wanafanikiwa sana kitaifa ktk masuala ya kiintellijensia uchumi,kijeshi na kitechnolojia......
Kinacho wacost waarabu hawana umoja halafu ni wanafiki kama sisi ngozi nyeusi,kama wangenkuwa na umoja basi israel kitambo ingeshafutwa
 
24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom