Zing
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 1,767
- 470
........huwezi kuvunja mkataba on the ground kuwa uliingizwa mkenge.
EMT una uhakika sheria zetu hazina nafasi ya kuvunja mkataba kwa ground za kuingizwa mkenge au kupotoshwa au urubuniwa kwa namna moja au nyingine ?????
Hivi anayedraft mkataba ni muuzaji au mnunuaji? Nakubali mkataba uliondaa wewe unaweza usiwe na scope na vigezo vyote yote amabayo wanahitaji mashirika kama world bank au watu marufu. Lakini sio wewe, ni mwanasheria wako, ndie anayetakiwa ku draft huo mkataba on your behallf. Ukidraft mwenyewe hutajua ni vipengele gani uweke na vipi uache unless na wewe ni mwanasheria, tena wa sheria za ardhi. Hata mashirika kama world bank au watu maarufu mikataba yao inakuwa drafted na kupitiwa na wanasheria.
NDio maana nimesema ni trust zaidi inatumika ya mashirika makubwa ambayo hawa matapeli wametumia loophole hiyo. kuna watu hawajui hata wanasheria. Kuna watu hata mikataba simple wa kupangisha nyumba template ya mkataba anaomba aandikwe na watu wa internet ... hiini mifano hai na nimeiona ya sheria kwa watanazania wengi.
Sasa hata ukitumia mwanasheria sometime anaweza akaandika mkataba mzuri lakini usikave vigezo vyote vinayotakiwa na lile shirika kubwa. Ndio maana nimesema mara nyingi kama muhiska ni wazee wetu unakuta haya mashirika yanayomanika yanaadaa mkataba kwa sbabu yanakuwa yameshapata brefing za mwenye nyumba basi hakuna anayepunjwa. Then mwenye mali kama anawasi wasi anatafuta mwansheria kungalia ule mkataba ulliondaliwa na mpangaji.....
Ukitaka wewe kuandika mkataba wa kuwarushu VODACM aua Tigo waweke mnara wao hata ukitafuta mwasheria unaweza kufanya miznguko kibao Unless Pia wapangishwaji hao special wakupe vitu gani vya zaida uviweke kwenye mkataba.
Hao watu waliongizwa mkenge kama wangekuwa wamewatumia wanasheria walio specialise kwenye property law au wataalamu wa ku draft na kusoma mikataba wala wasingeingizwa mkenge. Tena kama mkataba wameudraft wenyewe lazima niupeleke kwa mwanasheria au specialist wa real estate acheki kama uko kama nilivyokubaliana na upande wa pili. Tatizo wabongo tunajifanya tunajua kila kitu
Mkuuu nadhani tusialumu watanzania. uelewa uliona wewe si zaidi ya watzania 25% walionao. Sasa Ndio maana nasema theoreticaly unachogea ni sahihi lakini onthe grund kuna matatizo. Mbona hata TANESCO yenye access na wanasheria wazuri wameingizwa mkenge na RICHMND.
Kuna sheria na watu. kuna watu kwa utaalamu wao wa sheria wanatumia seria hizo hizo kuvunja sheria. Kuna sheria nzuri zisipotafisiriwa vizuri zinatumika kumyima mtu haki.
So hata kwa case yako wewe unaweza kutapeliwa watu wakifanya upelelezi wakamju mwanasheria wako . Assume wameenda ku looby nae bila wewe kujua . Then unaenda kumuuliza ushauri anakwambia hauna tatizo. wewe unaweka sugnature. kumbuka hawa matepeli ni watu smart sana.
Jamani kutapeliwa sio mara zote ni ushamba. Kuna watu wako smart ku-abuse system fulani na trust iliyopo katika jamii. Ukitaka kujua matapeli na "wasanii" walivyo na akili nenda zero brain ujarbu kupata story na ujue watu wanavyofanya kazi. kuna watu wako smart wamewkeza aili zao sehemu mbaya . Hata kweye capital econmy za majuu zipo sheria za kuwa linda vulnerable au avarage people.
Kama hata vyama vya huru na vya kiseriali vya wanasheria vinasikia utapeli huu na majibu yaoa yakiwa hawawezi kufanya kitu basi sheria zetu nazo zimekuwa siasa