Institute of Accountancy Arusha

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Hello jf!!naomba mwenye information kuhusu masuala ya kitaaluma ya hcho chuo hapo juu,soko la wahitimu wake na mambo mengne anipe,kuna mdogo wangu kachaguliwa hapo for bachelor of economics with finance.
 
Ni chuo chenye mazingira mazuri na walimu wazuri hasa kwenye kozi za Accounting,Procurement,IT na Tax
 
acheni kuwa naive vjana,knachoku-market sio chuo bali ni competence yako na networking yako,mtaishia kupambanisha vyuo humu jamvini wakati kwenye job market ni wewe mwenyewe,competence yako,kujituma na network.
 
Ili uwe competence una hitaji mazingira mazuri,unafikiri kwa nini shule za kata wanapata matokeo mabovu?
 
<br />
<br />
kaka nashukuru kwa kuamua kuwafungukia hawa vijana wapenda maisha laini.
 
Ili uwe competence una hitaji mazingira mazuri,unafikiri kwa nini shule za kata wanapata matokeo mabovu?
hao wanaofaulu shule za kata ulidhani wanamsubiria mwalimu aje kuwafundisha,au waletewe vitabu na materials nyingine,.mkuu me nashuhudia mtu na certificate yake ana uelewa wa kazi na anafanya kazi kushinda mtu wa degree,vijana wa VETA wako vizuri sana kushinda hata watu wa COET pale mliman
 
Apart from masuala ya Taaluma, kama mdogo wako ni wa kike unatakiwa u'spare muda wa kutosha kukaa nae kuongea!
Panatisha!
 
khaaah!!ebu,niweke wazi mkuu,dogo ni wa kike ndio!
Njiro kwa Arusha ni chuo cha pekee cha higher education kilichopo karibu na mjini.
Kama unavyoelewa mambo ya vyuoni, wadada wa pale wako kwenye risk kubwa sana ya cannibalism toka kwa Wana-Arusha, nadhani unajua kuwa kwanza eneo la Njiro limesheheni vibosile wenye senti na mahekalu yao ya kufa mtu!..
Hivyo, bila kujali kuwa ana self-awareness ya namna gani, mkalishe chini, maana majaribu atakayoyapata ni ucpime!
 
kwa mtoto wa kike wa sasa,lazima utumie nguvu ya ziada kumpa somo,ndo akuelewe
 
Njiro kwa Arusha ni chuo cha pekee cha higher education kilichopo karibu na mjini.
Kama unavyoelewa mambo ya vyuoni, wadada wa pale wako kwenye risk kubwa sana ya cannibalism toka kwa Wana-Arusha, nadhani unajua kuwa kwanza eneo la Njiro limesheheni vibosile wenye senti na mahekalu yao ya kufa mtu!..
Hivyo, bila kujali kuwa ana self-awareness ya namna gani, mkalishe chini, maana majaribu atakayoyapata ni ucpime!
duh!!na huduma nyngne za kijamii znapatkana kiurahc maeneo hayo?
 
Embe huitwa embe na si apple wala ndizi, inakuwaje institute mnaziita VYUO ilihali ni TAASISI?is the word Institute=College= University?
 
Lakini hakuna aliesema iaa ni university ila kwakua wa2 wanaenda kupata high education mim naona mzuka 2 bcos iaa co ki2o cha kulelea watoto yatma ni chuo ni higher learnng institution
 
chuo ni chuo,cdhan ka kuna tofaut yoyote kat ya IAA na udsm,ni kusumba 2 ilyojengeka kwamba udsm ni bora bt hamna k2.
 
Back
Top Bottom