acheni kuwa naive vjana,knachoku-market sio chuo bali ni competence yako na networking yako,mtaishia kupambanisha vyuo humu jamvini wakati kwenye job market ni wewe mwenyewe,competence yako,kujituma na network.
<br />acheni kuwa naive vjana,knachoku-market sio chuo bali ni competence yako na networking yako,mtaishia kupambanisha vyuo humu jamvini wakati kwenye job market ni wewe mwenyewe,competence yako,kujituma na network.
Kipo NjiroAsante mkuu, kiko Arusha sehemu gan?
Kipo Njiro karibu na chuo cha ESAMIAsante mkuu, kiko Arusha sehemu gan?
hao wanaofaulu shule za kata ulidhani wanamsubiria mwalimu aje kuwafundisha,au waletewe vitabu na materials nyingine,.mkuu me nashuhudia mtu na certificate yake ana uelewa wa kazi na anafanya kazi kushinda mtu wa degree,vijana wa VETA wako vizuri sana kushinda hata watu wa COET pale mlimanIli uwe competence una hitaji mazingira mazuri,unafikiri kwa nini shule za kata wanapata matokeo mabovu?
Njiro kwa Arusha ni chuo cha pekee cha higher education kilichopo karibu na mjini.khaaah!!ebu,niweke wazi mkuu,dogo ni wa kike ndio!
kwa mtoto wa kike wa sasa,lazima utumie nguvu ya ziada kumpa somo,ndo akueleweNjiro kwa Arusha ni chuo cha pekee cha higher education kilichopo karibu na mjini.
Kama unavyoelewa mambo ya vyuoni, wadada wa pale wako kwenye risk kubwa sana ya cannibalism toka kwa Wana-Arusha, nadhani unajua kuwa kwanza eneo la Njiro limesheheni vibosile wenye senti na mahekalu yao ya kufa mtu!..
Hivyo, bila kujali kuwa ana self-awareness ya namna gani, mkalishe chini, maana majaribu atakayoyapata ni ucpime!
duh!!na huduma nyngne za kijamii znapatkana kiurahc maeneo hayo?Njiro kwa Arusha ni chuo cha pekee cha higher education kilichopo karibu na mjini.
Kama unavyoelewa mambo ya vyuoni, wadada wa pale wako kwenye risk kubwa sana ya cannibalism toka kwa Wana-Arusha, nadhani unajua kuwa kwanza eneo la Njiro limesheheni vibosile wenye senti na mahekalu yao ya kufa mtu!..
Hivyo, bila kujali kuwa ana self-awareness ya namna gani, mkalishe chini, maana majaribu atakayoyapata ni ucpime!
chuo ni chuo,cdhan ka kuna tofaut yoyote kat ya IAA na udsm,ni kusumba 2 ilyojengeka kwamba udsm ni bora bt hamna k2.Lakini hakuna aliesema iaa ni university ila kwakua wa2 wanaenda kupata high education mim naona mzuka 2 bcos iaa co ki2o cha kulelea watoto yatma ni chuo ni higher learnng institution
kama wanataka vyuo waende Oxford. Bora umewapasukia.kaka nashukuru kwa kuamua kuwafungukia hawa vijana wapenda maisha laini.