Instagram

Jambazi

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
16,642
18,643
naombeni msaada simu yangu ina uwezo wa instargam lakini nikii download haikubali msaada wakuu
 
Mkuu achana na mambo ya Instargram yatakuwehusha tu maana kule kuna mabeef ya kufa mtu huku Kajala na Wema kule Zamaradi na Ray C etc. Aah watu wanaitumia vibaya sana hiyo makitu
 
Hivi Ukiingia tuu unakutana na hayo mabeef au mpaka uwe umewafollow hao kina Kajala na wenzake??
 
Mkuu achana na mambo ya Instargram yatakuwehusha tu maana kule kuna mabeef ya kufa mtu huku Kajala na Wema kule Zamaradi na Ray C etc. Aah watu wanaitumia vibaya sana hiyo makitu

aisee nimekuta kuna mshkaji amewa follow hao watu walahi utashangaa kuna mabeef afu ni full matusi yaani hata wenye neteork yao wangejua walahi ingekuwa hatari mno....hizo id tu ni kumtusi wema mara kajala dah jamani huko hakufai....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom