Inspector Haroun aonekana ofisi ya RC Makonda haijajulikana ana malalamiko gani!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,616
141,447
Haijajulikana hasa kilichompeleka kama ni hili zoezi linaloendelea la kuwasaka baba halali au ana biashara zake nyingine. Niishie hapo!
 
Ingependeza zaidi kama Makonda angeonyesha mfano wa jinsi anavyotunza watoto wake. Mnyama asie na mkia kama ng'ombe haiwezekani hahoji kwa nini ng'ombe mzembe anani'ng'niza mkia!!
 
Naona umeamua umtukane prince hadharani.... tehteehhh
 
Ingependeza zaidi kama Makonda angeonyesha mfano wa jinsi anavyotunza watoto wake. Mnyama asie na mkia kama ng'ombe haiwezekani hahoji kwa nini ng'ombe mzembe anani'ng'niza mkia!!
Lengo LA muvi tayari tusubirie action, Mzee wa white wamemsaka kweli uzuri anajua michezo ya mabushmen stone age maprimitive waliokuja town na gari za ng'ombe,ndo maana ukaa kimya ili asiingie 18 zao ye born town.
 
Back
Top Bottom