Inside infor. Matokeo ya REDIT mpaka sasa JK Kutoka 80.28% hadi 47.60%

Hasara

Senior Member
Dec 29, 2006
141
8
Inside infor. matokeo ya REDIT mpaka sasa JK na serikali yake Kutoka 80.28% hadi 47.60% mchakato huu bado una endelea sehemu mbali mbali nchini , sehemu kubwa wana tumia simu kuwaambia wahusika kukusanya maooni mikoani watu wengi wanaoulizwa ni makada wa chama husika,na mambo mengine yata malizikia mezani. wananchi wengi wamekata tamaa na ,wanaona hii ni siasa tu,

serikali ya kikwete hina hali ngumu sana wanakiri wanao kusanya maoni ya watu. kwaza ni tuhuma zinazo kabili viongozi wa awamu ya nne na ya tatu.

nitaendelea kuwahabarisha inavyo kwenda mchakato mzima wa kukusanya maoni.

asanteni
 
Umezipta wapi hizi data? Una uhakika nazo? isije ikawa unatuletea udaku.
 
Suala hapo je watachapisha hayo maoni ama watayafabricate? Usisahau kuwa hatujasahau kuwa hao Redet ni kina nani?
 
Inside infor. matokeo ya REDIT mpaka sasa JK na serikali yake Kutoka 80.28% hadi 47.60% mchakato huu bado una endelea sehemu mbali mbali nchini , sehemu kubwa wana tumia simu kuwaambia wahusika kukusanya maooni mikoani watu wengi wanaoulizwa ni makada wa chama husika,na mambo mengine yata malizikia mezani. wananchi wengi wamekata tamaa na ,wanaona hii ni siasa tu,

serikali ya kikwete hina hali ngumu sana wanakiri wanao kusanya maoni ya watu. kwaza ni tuhuma zinazo kabili viongozi wa awamu ya nne na ya tatu.

nitaendelea kuwahabarisha inavyo kwenda mchakato mzima wa kukusanya maoni.

asanteni
Kama haya matokeo ni kweli, nadhani hata hiyo 47.60% watakuwa wamempendelea, huyu Kikwete mimi ningempa 20% katika utendaji wake. What a waste President.
 
Mazee hata hiyo 20% yaani utakuwa umempendelea mno. Mimi nampa 3.5%...kila siku yeye yuko kiwanja...ebo!!! Kazi anafanya saa ngapi huyu? Kazi kuvizia sale Nordstrom na Marcus Niemman...
 
Umezipta wapi hizi data? Una uhakika nazo? isije ikawa unatuletea udaku.

wewe subiri tupo kwenye mchakato, tumeyachoka kazi kubwa inafanyika ofisini yaani mezani watu wachache wanakusanya maoni,hii ni serikali wewe ujui utakacho ambia unalazimishwa kuamini.asante
 
Mazee hata hiyo 20% yaani utakuwa umempendelea mno. Mimi nampa 3.5%...kila siku yeye yuko kiwanja...ebo!!! Kazi anafanya saa ngapi huyu? Kazi kuvizia sale Nordstrom na Marcus Niemman...
hahahahaha unajua jamaaa ni bonge la brothaman na nina uhakika anaweza kuwa na Discount Cards za baadhi ya Stores. Unaweza kukuta hadi ana Grillz anazivaaga akiwa Ikulu na Masela wake.
 
Kama sijakosea (niko radhi kusahihishwa) huyu jamaa (JK) aliahidi kuleta ajira milioni moja ktk moja ya ahadi zake lukuki. Mpaka sasa wamesha-create ajira ngapi na mwelekeo (trajectory) unaelekea wapi, juu, chini, au hakuna movement?
 
...hivi na nyie mlimwamini kabisa? US na Economy powerhouse waliyonayo and big population 10 times ya Tanzania hawawezi kutengeneza hizo kazi milion kwa mwaka...nimeanza kuamini wabongo wengi ni delusional tuu sio JK peke yake kama mlimwamini kwa hilo
 
hamatokeo nilisema kwa wakati ule yalikuwa haya na yakazidi kushuka tu .
 
hayatokeo nilisema kwa wakati ule yalikuwa haya na yakazidi kushuka tu .
 
Mukandara siku hizi VC nadhani kaawachia vijana pale political science. Tatizo ni kuwa Vasco do Gama atakosa usingizi na takwimuj hizo? swali alipata kupewa orientation na jobspecification ya urais. Maana hajui what to do. Talalila kibao! mara nitwasemea kwa wanachi aaaaa Rais unathubutu kusema hayo. Je anawaogopa? anawalinda? hajui majukumu yake? labda yote. Lakini je takwimu hizo wanajiji wanzijua? Maana huko ndiko wanakookota kura asilimia 80%. Hata 2010 ni mbali ilitakiwa KAMA ANA KASHFA BASI KATIBA IRUHUHU IMPEACHMENT Tusisubiri mwakalujeshi maana ndiyo umpeachment za kiafrica miaka ya 60-80. sasa ni demokrasia kama hafai tumwambiye bwana huafai.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom