Wimbo uko poa unachezeka hakika na mix nzuri sana.
Tena sio mileage ndogo ingawaje kuna watu watajifanya hawalioni kabisa hili, na usishangae ukakuta watu wenyewe hata huyo Innos'B walikuwa hawamfahamu hapo kabla!Wimbo mzuri sana na video nzuri sana. Diamond Platnumz amemuongezea mileage huyu Innos' B.
Inawezekana upo sahihi kabisa, lakini kwanini pia usidhani kilichotokea ni kama kile ambacho Diamond alikifanya kwenye wimbo wake wa My Number One kupitia Davido?! Kwamba, baada ya kuona Number 1 ingemsogeza mbele zaidi, akaamua kuitumia hiyo hiyo kufanya re-mix na Davido ambae tayari alishakuwa juu Afrika!!! Au tu-assume hapa napo Davido aliipenda Number 1 kwahiyo akaomba remix?!Innos B ni mkali na Yope ni kali mnoo hadi the msanii wa kimataifa Diamond Platnumz ameomba ifanyike remix na yeye awe sehemu ya nyimbo hiyo.
100%Inawezekana upo sahihi kabisa, lakini kwanini pia usidhani kilichotokea ni kama kile ambacho Diamond alikifanya kwenye wimbo wake wa My Number One kupitia Davido?! Kwamba, baada ya kuona Number 1 ingemsogeza mbele zaidi, akaamua kuitumia hiyo hiyo kufanya re-mix na Davido ambae tayari alishakuwa juu Afrika!!! Au tu-assume hapa napo Davido aliipenda Number 1 kwahiyo akaomba remix?!
Mrembo Leo nipo busy Nina series ya money heist, master mind na hostel ghost na zote napiga kwa pamoja maana Nina full bando.
Bado masaa matatu original version ipitwe kwa views na hii remix au pengine tayari ishapitwa...daaa huyu mond sio mtu mzuri aiseee
Yah ni nzuri sanaNje ya mada hii series ya master mind na hostel ghost za moto?
Money heist nimemaliza hadi season ya tatu iko vizuri sana.
A na B yote sawa.Inawezekana upo sahihi kabisa, lakini kwanini pia usidhani kilichotokea ni kama kile ambacho Diamond alikifanya kwenye wimbo wake wa My Number One kupitia Davido?! Kwamba, baada ya kuona Number 1 ingemsogeza mbele zaidi, akaamua kuitumia hiyo hiyo kufanya re-mix na Davido ambae tayari alishakuwa juu Afrika!!! Au tu-assume hapa napo Davido aliipenda Number 1 kwahiyo akaomba remix?!
Asante ntazipakua mkuu.Yah ni nzuri sana
Team masebene woyoooo..wallah huu wimbo najikutaga nacheza tuNapenda sana masebene
hatari fayaIla jamani huu wimbo mtraaamuu Bana..aaghaaaa!
SanaHii nyimbo kali sana Mkuu inatesa sana watu clubs.
Binafsi niliwahi muona kwenye wimbo fulani mmoja sikumtilia maanani nimekuja kumfahamu vizuri kwenye hii collabo na mondTena sio mileage ndogo ingawaje kuna watu watajifanya hawalioni kabisa hili, na usishangae ukakuta watu wenyewe hata huyo Innos'B walikuwa hawamfahamu hapo kabla!
Hizo challenge uko insta hatarii nakwambiahatari faya
Kinachokutesa wivu mtoto wa kiume kwa mwanaume mwenzioNi kwako tu