Innoss'B ft Diamond video, bonge la wimbo

Innos B ni mkali na Yope ni kali mnoo hadi the msanii wa kimataifa Diamond Platnumz ameomba ifanyike remix na yeye awe sehemu ya nyimbo hiyo.
Inawezekana upo sahihi kabisa, lakini kwanini pia usidhani kilichotokea ni kama kile ambacho Diamond alikifanya kwenye wimbo wake wa My Number One kupitia Davido?! Kwamba, baada ya kuona Number 1 ingemsogeza mbele zaidi, akaamua kuitumia hiyo hiyo kufanya re-mix na Davido ambae tayari alishakuwa juu Afrika!!! Au tu-assume hapa napo Davido aliipenda Number 1 kwahiyo akaomba remix?!
 
100%
 
Nje ya mada hii series ya master mind na hostel ghost za moto?

Money heist nimemaliza hadi season ya tatu iko vizuri sana.
Mrembo Leo nipo busy Nina series ya money heist, master mind na hostel ghost na zote napiga kwa pamoja maana Nina full bando.
 
Mi nakwambia Mond sio poa, jamaa kacharaza ile mbaya acha simba awe simba asifananishwe na vitu vya ajabu
Bado masaa matatu original version ipitwe kwa views na hii remix au pengine tayari ishapitwa...daaa huyu mond sio mtu mzuri aiseee
 
Inawezekana upo sahihi kabisa, lakini kwanini pia usidhani kilichotokea ni kama kile ambacho Diamond alikifanya kwenye wimbo wake wa My Number One kupitia Davido?! Kwamba, baada ya kuona Number 1 ingemsogeza mbele zaidi, akaamua kuitumia hiyo hiyo kufanya re-mix na Davido ambae tayari alishakuwa juu Afrika!!! Au tu-assume hapa napo Davido aliipenda Number 1 kwahiyo akaomba remix?!
A na B yote sawa.
 
Tena sio mileage ndogo ingawaje kuna watu watajifanya hawalioni kabisa hili, na usishangae ukakuta watu wenyewe hata huyo Innos'B walikuwa hawamfahamu hapo kabla!
Binafsi niliwahi muona kwenye wimbo fulani mmoja sikumtilia maanani nimekuja kumfahamu vizuri kwenye hii collabo na mond
 
Harmonize kwa korabo tayar kashapigwa bao kuanzia kwa rayvanny mpaka simba

Harmo katoa tena
Wcb kuna ngoma itaachiwa soon subir uone kama sio mboso na simba sijui
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom