Nisubiri tuongozaneAcha Tukausikie Tutarudi
Wimbo uko poa unachezeka hakika na mix nzuri sana.
Hata Kama mbaya ungesifia team naniiNgoma kali Sana nimeipenda alafu haishi utamu
Wimbo uko poa unachezeka hakika na mix nzuri sana.
Zidumu za nini sasa si tunataka ngoma mpya kila kukichaTatizo huwa nyimbo zake hazidumu
#mapovusitakimiehater
Tafadhari Turudi Kuleta MrejeshoNisubiri tuongozane
Tatizo huwa nyimbo zake hazidumu
#mapovusitakimiehater
Ndio hii naisikia "sukuma Simba nawasha Moto" inachezeka lakini
Yani nilikua najiuliza ni nani ameimba? hapa jirani na kwangu kila siku nakasikia hako kamdundo nabaki kutikisa kiuno tuu kumbe ni mondi aisee katamu sana