Injinia wa Tanesco Mkoa wa Pwani kwanini usijiuzulu kwa kushindwa kudhibiti ukatikaji wa umeme

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
7,113
7,688
Katika eneo linaloongoza kukatika umeme ni maeneo ya Kiluvya kwa KOMBA, kwa Kawawa na GOGONI haya ni maeneo yamekuwa na kero kubwa ya ukatikatikaji wa umeme kiholela, Umeme wenyewe hauna nguvu.

Je hii ni hujuma au Nini? Nna wasisiwasi kuwa huenda ikawa ni hujuma, kama sio hujuma basi ni uzembe ulio pindukia hivyo nashauri kwa kuanzia engineer wa Mkoa wa Pwani awajinile kwa kupisha nafasi yake.

Mambo haya wananchi walishayasahu, tulishatoka huko kwa nini mnatuchonganisha sisi wananchi na Serikali yetu ya awamu ya 6??!!!

Naomba Serikali iwatupie macho makali watendaji wote wanaoihujumu Serikali.
 
Back
Top Bottom