Injinia madeni kipande anafaa kwa sifa kuwa DG Bandari (TPA)

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
Injinia madeni kipande anatosha kuwa DG BANDARI
 
Attachments

  • 1423927770485.jpg
    1423927770485.jpg
    89.5 KB · Views: 700
Injinia madeni kipande anatosha kuwa DG BANDARI
Amekutuma uje kusema haya,

muulize maswali haya,

Zile pesa walizoeusha na mwenzake kwenye ule mkataba tata watarejesha lini serikalini,

Muulize kama amepata master degree kwani dg anatakiwa kuwa na master kwa mujibu wa sheria za bandari na yeye hana,

Halafu muulize wale watumishi wenye uwezo mkubwa kielimu na utendaji kwanini anawachukia na kuwahamisha,

Lakini pia muulize kama ameacha kuingiza waganga wa jadi ofisini kumtengenezea madawa ya kumlinda,

Lakini muulize kama kaacha kutukana matusi ya nguoni viongozi wake na watumishi waliochini yake,

Je anaweza kujibu kwanini director wa ict kampeleka nansio ukerewe kafanya kosa gani,

Anaweza kutueleza yule dada aliyekuwa director wa marketing kwanini alimuondoa makao makuu,

Pia muulize lile katazo lilotua kwa mwakyembe na mwakyembe akatakiwa kumweleza kuwa hanasifa za dg analijua? Mwakyembe alimwambia.

Note: mwambie ajibu kwanza hayo halafu ntakuwekea ripoti ya bodi ambayo ilipendekeza aondolewe kwakuwa hana sifa Lakini pia akijibu hayo ntaweka bayana mazungumzo yake ya wiki iliyopita na vibaraka wake wanaotaka kufunika uozo wa ununuzi wa mabehewa chakavu halafu mnaita mapya wakati yamepigwa rangi.
 
tunachoongelea ni ufanisi, kuwamishwa mtu ni kitu cha kawaida ; Mbona ata Raisi anahamisha - Kuhamisha maana yake labda wangemuletea usumbufu katika ufanisi.

Je shehena imepanda kuzidi uongozi ulioondolewa . na kwanini ipande kipindi chake hayo ndo maswali mkuu ya kujiuliza. personal matter does'nt matter on this discusion
 
Breaking News ni Kwamba kaonyeshwa njia alizokuwa anawaonesha wenzake. He is no longer there as I write. Ni kweli kuna kuongezeka mizigo na kwa kiasi fulani, mapato. Ila asingefanya vurugu alizozifanya dhidi ya wa tu aliokuwa akiwahofia, ikiwemo kuhamisha na kusitisha mikataba ya wengine au kuwafukuza kabisa, tija ingekuwa kubwa zaidi. Kuna mashauri Mungu yamefunguliwa na wahanga wengi wa maamuzi take, ambazo nyingi hazina utetezi asilani. Tukumbuke, Rwija iliyopo ni kidogo kwa Kuwait Mazingira ya sasa ya biashara na uwekezaji jadidi vingeleta ufanisi zaidi.
 
Amekutuma uje kusema haya,

muulize maswali haya,

Zile pesa walizoeusha na mwenzake kwenye ule mkataba tata watarejesha lini serikalini,

Muulize kama amepata master degree kwani dg anatakiwa kuwa na master kwa mujibu wa sheria za bandari na yeye hana,

Halafu muulize wale watumishi wenye uwezo mkubwa kielimu na utendaji kwanini anawachukia na kuwahamisha,

Lakini pia muulize kama ameacha kuingiza waganga wa jadi ofisini kumtengenezea madawa ya kumlinda,

Lakini muulize kama kaacha kutukana matusi ya nguoni viongozi wake na watumishi waliochini yake,

Je anaweza kujibu kwanini director wa ict kampeleka nansio ukerewe kafanya kosa gani,

Anaweza kutueleza yule dada aliyekuwa director wa marketing kwanini alimuondoa makao makuu,

Pia muulize lile katazo lilotua kwa mwakyembe na mwakyembe akatakiwa kumweleza kuwa hanasifa za dg analijua? Mwakyembe alimwambia.

Note: mwambie ajibu kwanza hayo halafu ntakuwekea ripoti ya bodi ambayo ilipendekeza aondolewe kwakuwa hana sifa Lakini pia akijibu hayo ntaweka bayana mazungumzo yake ya wiki iliyopita na vibaraka wake wanaotaka kufunika uozo wa ununuzi wa mabehewa chakavu halafu mnaita mapya wakati yamepigwa rangi.

Pamoja na yote uliyoandika hapo juu, napenda kusisitiza LUGHA CHAFU ZA HUYU MZEE, hana maadili kabisa. Nimewahi kushuhudia akimtukana mtu wa makamo matusi ya nguoni....akisema....."Shenzi,...Pumbavu,....M.s.e.n.g.e. Mkubwa,....K.u.m.a nyoko. TENA AKIWA AMEFUNGA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI.

Ila naambiwa ni Mpwa wa Mh Jakaya Kikwete, hakuna wa kumfanya chochote.
 
Naòngeza mwulize kuhusu mchakato wa ajira ambao Ofisi ya secretariate ya Ajira ofisi ya Rais walifanya shirt list yeye kaamua kudharau na kuweka watu wake....hafai hata bure huu ndio uzuri wa mabadiliko.
Pambana na ufisadi kama huu ambao watu kama hao wanafanya chama chetu kiondekane kibaya kwa kulea watumishi kama hao.
 
ngoma ikivuma saaana ! hiyo ya mitusi ya nguoni ni kweli kabisa, mzee huyu mdomo hauna breki kabisa yaani tena kwa masikio yangu tukiwa na wasaidizi wake, na asijali kuna watu wa nje, aliporomosha hilo neno la sehemu za siri za mwanamke kwa kumwita hivyo mwanaume jamani !! na akiwa amefunga sisi tulikuwa naye canteen, JAPAN khaaaa kwaweli delegation yetu tulishika mdomo, hili zee ingekuwa mimi ningemrekodi niirushe whatssup hana staha kabisa !!
 
Mutu ya swala sana yule.
Mutu wa karibu sana na jk, muswahili, usishangae hata akihamia kwa waganga.
Mathus hakuyaanza leo tokea yuko rrm huko mby ndivyo alivyo.
Namfahamu kwa kiasi fulani.
 
baada ya kutotolewa taarifa za uchunguzi kama ilivyoahidiwa, na uchaguzi kuvurugika.Kipande is right person.
 
Amekutuma uje kusema haya,

muulize maswali haya,

Zile pesa walizoeusha na mwenzake kwenye ule mkataba tata watarejesha lini serikalini,

Muulize kama amepata master degree kwani dg anatakiwa kuwa na master kwa mujibu wa sheria za bandari na yeye hana,

Halafu muulize wale watumishi wenye uwezo mkubwa kielimu na utendaji kwanini anawachukia na kuwahamisha,

Lakini pia muulize kama ameacha kuingiza waganga wa jadi ofisini kumtengenezea madawa ya kumlinda,

Lakini muulize kama kaacha kutukana matusi ya nguoni viongozi wake na watumishi waliochini yake,

Je anaweza kujibu kwanini director wa ict kampeleka nansio ukerewe kafanya kosa gani,

Anaweza kutueleza yule dada aliyekuwa director wa marketing kwanini alimuondoa makao makuu,

Pia muulize lile katazo lilotua kwa mwakyembe na mwakyembe akatakiwa kumweleza kuwa hanasifa za dg analijua? Mwakyembe alimwambia.

Note: mwambie ajibu kwanza hayo halafu ntakuwekea ripoti ya bodi ambayo ilipendekeza aondolewe kwakuwa hana sifa Lakini pia akijibu hayo ntaweka bayana mazungumzo yake ya wiki iliyopita na vibaraka wake wanaotaka kufunika uozo wa ununuzi wa mabehewa chakavu halafu mnaita mapya wakati yamepigwa rangi.
Jamaa anmpigia debe,sijui kaahidiwa nini??.
 
Back
Top Bottom