Injinia Hersi Said: Timu za Simba na Yanga zinaendeshwa kwa hasara miaka mingi

manndungu

JF-Expert Member
Jul 9, 2020
496
473
''Timu hizi zinajiendesha kwa hasara kwa miaka mingi ndio maana zimekwama. Ukisema hivi mtu anaweza asikuelewe lakini ukitazama mapato ya klabu na matumizi ndio utajua kwanini zinajiendesha kwa hasara'' - Eng. Hersi Said Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM.

#KipengaXtra
 
Angeandika hivi MO Dewji,
Comments za kumpinga zingefika elfu Kumi na ushee.
Kwakuwa ameongea Eng. wala hutawasikia wakibweka.

Watu tusichokijua ni kuwa hizi timu zetu sometimes zinatia hasara tupu.Mzee Jabir Kingamkono (kama sijakosea jina lake),aliyekuwa Mfadhili wa Simba aliishia kufirisika.Mzee Hassan Dalali alijitoa kwa hali na mali, leo hata pa kulaza kichwa chake tu ni taabu.Halafu Mo Dewji akiongea kuhusu hasara anazopata kama mwekezaji watu wanamzomea.
 
Huu ndo ukweri na ukweri lazima usemwe tu.Juzi tu hapa AZAM walitia mipunga yao kwenye ligi watu wakadai ni ndogo sijui ligi yetu kubwa,kelele zikawa nyingi lakini ukweli ni kwamba mpira wetu bado mchanga sana mtu kuwekeza pesa yake akapata faida.GSM na UTO yake wamejitahidi kutoa jezi waone kama watapata faida huko lakini sasa wadau wanachofanya,wanaacha kununua jezi original wanaenda kununua jezi ya buku tano tano.Then,timu zinapokosa matokeo utasikia sisi ni brand kubwa mara haya matokeo si yetu.Sasa hizo brand ukubwa wake uko wapi kama wanachama wake kununua jezi ya elfu 35 msala.
 
Kwakua MO ni muongo, jezi moja ya Simba Ina bidhaa za MO Kama Tano na kila bidhaa inatakiwa iwe na mkatabawake Sasa inakuaje mapato ya timu Mwaka yashindwe kuendesha Klabu wakati Kuna wadhamiini wengine Kama Azam na Mo
Kwani home boy klabu ya simba kwa mwaka inatumia kiasi gani katika bajeti yake? Hivi unaposema sijui kuna matangazo kwenye jezi ,unajua thamani ya kila tangazo kwenye jezi.Nakupa mfano,msimu uliopita Simba na mdhamini wa timu ambaye ni Mo walisaini mkataba wa kutangaza sabuni ya Mo poa.Mkataba ulikuwa na thamani ya shilingi milioni mia mbili as it was reported.I am not sure whether this was true or not.Sasa tufanye leo hii kila tangazo liwe na hii thamani maana yake ni kwamba matangazo yote, umesema matano yata count kama bilioni moja.Swali langu ni hivi ni kweli klabu kama simba inaendeshwa kwa bajeti ya bilioni moja kwa msimu?
 
Kwa mpaka sasa sidhani kama kuna anayepiga hayo ila kwa upande mwingine tunaamini hao Wawekezaji nao ni greathinkers au wamezungukwa na Greathinkers watumie huo Mtaji wa Mashabiki kupata faida.

Hizo timu mitaji yao ni Wafuasi, kila kona ya nchi kuna mashabiki wa hizi timu, na zimebeba roho za Watu jiongezeni Wazee.
 
''Timu hizi zinajiendesha kwa hasara kwa miaka mingi ndio maana zimekwama. Ukisema hivi mtu anaweza asikuelewe lakini ukitazama mapato ya klabu na matumizi ndio utajua kwanini zinajiendesha kwa hasara'' - Eng. Hersi Said Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM.

#KipengaXtra
Akisema dewj anaonekana muongo sijui nini.? Mbona leo wana utopolo hamkatai anachokisema mtu wenu.?
 
Kwakuwa ameongea Eng. wala hutawasikia wakibweka.

Watu tusichokijua ni kuwa hizi timu zetu sometimes zinatia hasara tupu.Mzee Jabir Kingamkono (kama sijakosea jina lake),aliyekuwa Mfadhili wa Simba aliishia kufirisika.Mzee Hassan Dalali alijitoa kwa hali na mali, leo hata pa kulaza kichwa chake tu ni taabu.Halafu Mo Dewji akiongea kuhusu hasara anazopata kama mwekezaji watu wanamzomea.
Shikamkono
 
Kwakua MO ni muongo, jezi moja ya Simba Ina bidhaa za MO Kama Tano na kila bidhaa inatakiwa iwe na mkatabawake Sasa inakuaje mapato ya timu Mwaka yashindwe kuendesha Klabu wakati Kuna wadhamiini wengine Kama Azam na Mo
Mwaka 2017 aliyekuwa mjumbe wa kamati ya usajili ya Simba alinukuliwa akisema wao Simba pekee bajeti yao kwa mashindano ya ligi pekee ni Mil 900.

Sasa kwa kipindi hicho udhamini wa Azam ulikuwa ni mdogo sana, na walikuwa na mkataba wa Sportpesa pekee.

Hebu jaribu kufikiria kwa timu hii ambayo vyanzo vya mapato ni vichache namna hiyo na mashindano yako mengi kiasi hicho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom