Injini ya Treni na Meli, ni ipi yenye nguvu zaidi kuliko nyingine?

Mwenzako anasema behewa 40,wewe unaleta habari za contena40!!!.

Kwani behewa lina nini? Unafikiri sikumuelewa? Behewa lina urefu gani kadr wewe ujuavyo? Kontena ni 40" na inabeba kuliko Mabehewa mengi. Hivyo mabehewa 40 ni almost sawa au pungufu kwa kontena 40! Hivyo huo ni mzigo mdogo sana kama karatasi tu kwenye meli
 
Kuna taarifa kuwa injini ya treni ndio yenye nguvu kuliko injini zote za vyombo vya moto kama magari,ndege,meli,boti. vifaru.

Je, kuna ukweli wowote katika hili?

treni ipi?ya diesel. makaa ya mawe au ya umeme?
 
Shule za kata taabu tupu eti me mwalimu alinifundisha kuwa engine ya ndege ndo inatumia nguvu nyingi sana kuweza kustahimili kukaa angani..sasa nashangaa na nyie mnasema mara ni meli na treni!!! Duh! labda ndio maana nilifeli

Inatumia nguvu nyingi wakati wa kuruka.
Ndio maana ikiwa angani na kwa bahati mbaya engine moja ikafeli, ina uwezo wa kusavaivu na kutua salama.
 
Kuna meli ilikuja mwaka jana bandari ya Dar ilikuwa imebeba makontena 4500 ndo meli kubwa kuwahi kuja Tanzania!
Hizo ni treni ngapi?
 
inategemea engine ya treni ina cc ngapi,kuna generator za kufua umeme wa diesel pale ubungo na songea nadhani zina cc kubwa kuliko treni
 
Kama kipimo ni kubeba mabehewa bc ya meli itakuwa yenye nguvu kupindukia sababu meli zpo ambazo zinabeba zaidi ya kontena 2000
 
Hakuna kama meli duniani. Kuna meli za maersk zinabeba almost makontena 1000 ambapo ni sawa na ubebe hizo treni kama 10 mule ndani.

Lakini pia tutofautishe hivi vyombo vinapita wapi yani nguvu ya usukumaji wa meli na treni chombo kinachopita kwenye maji kinaelea na tren mkumbuke kinapita nchi kavu inapanda milima na kushuka kwa upande wangu na hisi ndege kama airbus kwa sababu kuyanyuka na Lita laki tatu na abilia na mizigo kwenda juu siyo mchezo labda wataalu zaidi watusaidie
 
Hivi bima za hizi meli zipo vipi kwa mfano?

Naona ikizama na huo mzigo wote ni balaa.

kinacholipwa ni chombo na si mzigo mfano gari lina bima na ikatokea likateketea kinacholipwa ni gari na si mzigo uliobebwa
 
Ship engines are the biggest and baddest of them all simply because they haul the largest fret.

Airplane engines are powerful and have good power to weight ratio but lack the absolute grunt like that of the ships.

Railways can dwarf any car or truck engine but they don"t stand a chance against the ship engines.
So its Ships>Airplane>Trains.
 
naamini hata meli ni hatari. Kuna meli ikija inatapika magari na kontena kadhaa. Pamoja majini uzito hupungua lakini naamini meli kubwa za kubeba magari na kontena itazidi engine ya train.

Lakini pia mashine kubwa za viwanda kama cha cement, power plants, gas plants na nuclear plant! Kuna maviwanda ya metallurgy na foubdry vya kuyeyusha chuma nazo engine zake ni very powerful
umeeleweka mkuu
 
Container ships are some of the largest and heaviest vessels that plough on the seas. They measure up to 1,200 feet in length and can move 10,000 to 16,000, 20-foot steel containers in one trip. To push these vessels through the water require immense amount of energy, that are derived from massive diesel engines.The RT-flex96C - a two-stroke turbocharged diesel engine designed by the Finnish manufacturer Wärtsilä and is currently the largest and most powerful diesel engine in the world. Standing at 13.5 meters high and 26.59 meters long, it is almost as big as a small apartment. It weighs over 2,300 tonnes and its largest 14-cylinder version produces 80,080 kW of power. The 14-cylinder version was put into service in September 2006 aboard the Emma Mærsk, a container ship, the largest at that time. One of the most remarkable feature of this behemoth is the high thermal efficiency, which exceeds 50%. This means that 50% of the heat generated by burning fuel is converted to power. For comparison, most automotive and small aircraft engines can only achieve 25-30% thermal efficiency. Even at its most efficient power setting, the big 14-cylinder engine consumes 1,660 gallons of heavy fuel oil per hour.

View attachment 242149

The RT-flex96C - a two-stroke turbocharged diesel engine

Naamini hili linaweza kuwa jibu sahihi.
 
Meli pamoja na injini zake kubwa na uwezo mkubwa ilionao kwa pamoja ikiwa hata na makontena elfu kumi.inavutwa kirahisi kabisaa na kichwa kimoja cha treni. Hebu tufafanulie nguvu ipi unayokusudia.

Ikiwa nchi kavu na makontena yake 1000 kamwe treni haiwezi kuivuta.
 
Kuna meli ilikuja mwaka jana bandari ya Dar ilikuwa imebeba makontena 4500 ndo meli kubwa kuwahi kuja Tanzania!
Hizo ni treni ngapi?

Na hiyo mpaka imeweza kuingia bandari ya Dar ujue ni ndogo tu.Kuna madubwana hayawezi ingia bandari ya Dar Es Salaam kwani ni makubwa balaa yanaweza piga kontena mpaka 10000 hizo ndo meli za kisasa za mizigo.
 
Back
Top Bottom