Soulbrother
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 405
- 14
Naomba msaada
kucha zangu za miguu zinakuwa ndani ya nyama, ingrown, wanasema. Zina maumivu sana na madaktari waliniambia nifanye operasheni ya kuzitoa... nimetoa mara mbili lakini wapi, zinakua vile vile... je kuna dawa ama haya ni maumivu ya milele
sasa hivi natinga open shoes kila siku