Ingiza vocha hii, utapiga simu bure forever mitandao yote

Sinkala

JF-Expert Member
Dec 22, 2008
1,773
683
Nina vocha ambayo ukiingiza, utaweza kupiga bure kwenda popote. Ili wahusika wasiishtukie, atakayebonyeza HAPA nitapata ID yake na nitamtumia kwenye PM. Ukiipata usirudi kuiweka hadharani ili tuendelee kufaidi.
 
Haya sasa, mmoja ameshaingiza na anatwanga bure kote kote. Ameni PM kunishukuru, lakini nimemuomba asiiweke vocha hadharani.
 
  • JamiiForums Message

JamiiForums Message

PakaJimmy, you do not have permission to access this page. This could be due to one of several reasons:
  1. Your user account may not have sufficient privileges to access this page. Are you trying to edit someone else's post, access administrative features or some other privileged system?
  2. If you are trying to post, the administrator may have disabled your account, or it may be awaiting activation.
 
Sinkala ulitaka thanks za bure sio? Umesahau kwamba linki za thanks zinatofautiana kwa kila ID na post...
Aisee wewe umenishtukia! Ila sijagongewa senksi siku nyingi, bahati mbaya jaribio langu limeshindikana. Hata napo mnisamehe kwa usumbufu, japo niliweka kwenye jukwaa la udaku.
 
Nina vocha ambayo ukiingiza, utaweza kupiga bure kwenda popote. Ili wahusika wasiishtukie, atakayebonyeza HAPA nitapata ID yake na nitamtumia kwenye PM. Ukiipata usirudi kuiweka hadharani ili tuendelee kufaidi.

Unatufundisha wizi na kufanya dhulma???!!!!!!!!!!!
 
Aisee wewe umenishtukia! Ila sijagongewa senksi siku nyingi, bahati mbaya jaribio langu limeshindikana. Hata napo mnisamehe kwa usumbufu, japo niliweka kwenye jukwaa la udaku.

Pokea yangu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom