Ingia kwenye historia ya Tanzania: Ina maana gani?

Mgumu04

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
1,934
1,043
Wana jf mnieleweshe kidogo kwenye hii kauli mbiu ya miaka 53 ya uhuru ; ambayo ni ingia katika historia kwa kuipigia kura katiba pendekezwa je wanao ingia kwenye historia ni wale wa kura ya ndio au hapana? ufafanuzi mwenyekujua .
 
Yaan ht mm nilikuwa najiuliza sn hilo swali maana kuna wengine hapa tunaplan kupigia kura ya hapana.
 
hapana, na akili zangu timamu kamwe sitapiga kura ya ndio kwa katiba aliyoiandaa chenge na wezi wa ccm
 
Wana jf mnieleweshe kidogo kwenye hii kauli mbiu ya miaka 53 ya uhuru ; ambayo ni ingia katika historia kwa kuipigia kura katiba pendekezwa je wanao ingia kwenye historia ni wale wa kura ya ndio au hapana? ufafanuzi mwenyekujua .
wote. watakaopiga kura ya hapana na ndiyo.
mfano halisi ni mimi mwenyewe hapa. nitaingia kwenye historia kwa kupiga kura ya HAPANA.
 
mgumu wanaoingia ni wote watakaopiga kura.nenda na kura yako ya hapana kapige tutakuingiza kwenye historia kama mmoja wa watu ambao hawakuisoma na kuielewa katiba pendekezwa bali wamefuata mkumbo wa waliosusa.

Back
Top Bottom