wote. watakaopiga kura ya hapana na ndiyo.Wana jf mnieleweshe kidogo kwenye hii kauli mbiu ya miaka 53 ya uhuru ; ambayo ni ingia katika historia kwa kuipigia kura katiba pendekezwa je wanao ingia kwenye historia ni wale wa kura ya ndio au hapana? ufafanuzi mwenyekujua .
Wana jf mnieleweshe kidogo kwenye hii kauli mbiu ya miaka 53 ya uhuru ; ambayo ni ingia katika historia kwa kuipigia kura katiba pendekezwa je wanao ingia kwenye historia ni wale wa kura ya ndio au hapana? ufafanuzi mwenyekujua .