Ingia humu tuongee

Nitawakuta huko.Hapo Mlima wa Moto namsindikiza Sophia Simba kutoa fungu la kumi kwa Mama Rwakatare.Nitaungana nanyi hapo.Lakini,nitakaa hapo kiintelijensia zaidi.Mkinijua tu,nawalipia bili zenu
 
NAANZIA KIMBOKAAAAAAAAAAA.....NTAMALIZIA CLUB AMBIANCEEEEEEEE!!!!!NIKITOKA HAPO MWEPESIIII......HATA MAMAYEYOO ANIGUSE WALAAA...
COPY YA HII COMMENT IENDE KWA nendiwekilasa
 
Last edited by a moderator:
Mimi wikiend hii naenda Mingoi kutembelea kashamba kangu, jpili kama kawa asubuhii kwa Gamanywa jioni nitakua Shikamoo marahaba namalizia stress za kukataliwa na Madame B.
 
Nitawakuta huko.Hapo Mlima wa Moto namsindikiza Sophia Simba kutoa fungu la kumi kwa Mama Rwakatare.Nitaungana nanyi hapo.Lakini,nitakaa hapo kiintelijensia zaidi.Mkinijua tu,nawalipia bili zenu
Dhalulaaa... pote huko nimeku napatamani... maana dal niliitwa lindo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom