Tunzo
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 4,021
- 2,296
WanakujaMwenye gari vits kuna anayeuza tuchekiane.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
WanakujaMwenye gari vits kuna anayeuza tuchekiane.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Huu uzi mbona hausogei tena?
Hakuna wauza magari tena?
Una uhakika gani kama hakuna wateja humu? Unategemea mtu wa JF akikupigia atakuambia mimi ni fulani, natumia ID fulani, nk!! Hilo sahau.Gari zipo nyingi sana mkuu, ila hapa teja wacha he sana kuliko mitandao mingine
Mkuu amini ninachoongea, Bora uweke nguvu mitandao mingine na utangaze, humu wajuaji wengi kuliko wateja, Mitandao mingine jinsi ya kutangaza kumepangiliwa vizuri kuliko hapa,, hapa tupo kawaida tuUna uhakika gani kama hakuna wateja humu? Unategemea mtu wa JF akikupigia atakuambia mimi ni fulani, natumia ID fulani, nk!! Hilo sahau.
Mimi binafsi huwa nawapigia madalali kibao tu humu nikiwa nahitaji kitu. Na sijawahi kujitambulisha kama ni mwanachama wa JF!
Usitudharau mkuu!! Humu kuna wateja wengi tu. Wewe weka vyombo vizuri, then tutakutafuta.
Mkuu amini ninachoongea, Bora uweke nguvu mitandao mingine na utangaze, humu wajuaji wengi kuliko wateja, Mitandao mingine jinsi ya kutangaza kumepangiliwa vizuri kuliko hapa,, hapa tupo kawaida tu
Mkuu mimi nanunua na kuuza magari, na pia, so kama mtu anauza gari yake anataka pesa ya chap nanunua, ila kama hatutakubaliana nae basi namtangazia kumuuzia, au mfano gari naona halina soko kwangu basi namtangazia, Ofisi ipo mwenge, karibu, mtaji wa kununua magari upokizuri chajiuza kibaya chajitembeza!JF haitaki mtu apigwe, madalali mmekuwa mkiongeza bei tofauti na uhalisia wa bidhaa