Car4Sale Ingia hapa chagua Gari (Magari mazuri bei nzuri) wazee wa kulenga!

Cruise auto spare ni wauzaji wa spear party za magari
Jeep,
BMW,
Audi,
Land rover,
Porsche,
Volkswagen,
Chrysler,
Range/Land rover

Duka linapatikana MAKAO MAPYA,EDEN ROAD jirani na cafe laziz restaurant,Arusha

Kwa mawasiliano piga +255743805465,+255786050747
Email:cruisespares@gmail.com
Fb&IG:cruiseautospareparts

Pia usisite kuwasiliana nasi pia tunatoa ushauri.
 
Gari zipo nyingi sana mkuu, ila hapa teja wacha he sana kuliko mitandao mingine
 
Una uhakika gani kama hakuna wateja humu? Unategemea mtu wa JF akikupigia atakuambia mimi ni fulani, natumia ID fulani, nk!! Hilo sahau.

Mimi binafsi huwa nawapigia madalali kibao tu humu nikiwa nahitaji kitu. Na sijawahi kujitambulisha kama ni mwanachama wa JF!

Usitudharau mkuu!! Humu kuna wateja wengi tu. Wewe weka vyombo vizuri, then tutakutafuta.
 
Mkuu amini ninachoongea, Bora uweke nguvu mitandao mingine na utangaze, humu wajuaji wengi kuliko wateja, Mitandao mingine jinsi ya kutangaza kumepangiliwa vizuri kuliko hapa,, hapa tupo kawaida tu
 
kizuri chajiuza kibaya chajitembeza!JF haitaki mtu apigwe, madalali mmekuwa mkiongeza bei tofauti na uhalisia wa bidhaa

Mkuu mimi nanunua na kuuza magari, na pia, so kama mtu anauza gari yake anataka pesa ya chap nanunua, ila kama hatutakubaliana nae basi namtangazia kumuuzia, au mfano gari naona halina soko kwangu basi namtangazia, Ofisi ipo mwenge, karibu, mtaji wa kununua magari upo
 
Back
Top Bottom