Ingelipendeza mno kama JK na familia yake wanatibiwa hapa......... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ingelipendeza mno kama JK na familia yake wanatibiwa hapa.........

Discussion in 'Jamii Photos' started by Rutashubanyuma, Feb 16, 2011.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Feb 16, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 420,364
  Trophy Points: 280
  <table width="100%" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr></tr><tr><td class="kaziBold" valign="top" align="left">
  </td> </tr> <tr> <td valign="top" align="center"> [​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" valign="top" align="left">Rais Jakaya Kikwete akimpa pole mtoto Brenda Boniface (4) aliyelazwa katika hospitali ya Shirika la Elimu Kibaha mkoani Pwani baada ya kuzindua jengo la Mama na Mtoto. Kulia ni mama wa mtoto huyo Tiasaeli Palangyo. (Picha na Freddy Maro).</td></tr></tbody></table>
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Feb 16, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 420,364
  Trophy Points: 280
  Viongozi wa nchi zenye maadili na kumcha Mungu kama Cuba, Uchina, Marekani n.k kamwe ni aibu kutoka nchini kwako kwenda kutibiwa ng'ambo jambo ambalo viongozi wetu wanaona ni ufahari.........................kubinya hela za mvuja jasho kukimbilia kutibiwa nje badala ya kuimarisha huduma za afya nchini na kila mmoja wetu akanufaika .......................tunahitaji sheria za kuwakataza viongozi wa umma kutumia hata senti moja kwa matibabu nje ya nchi hii...................kwa gharama zetu................baada ya hapo utaona jitihada za dhati zinafanyika za kuimarisha huduma za afya kwa kila mmoja wetu................................................
   
 3. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #3
  Feb 16, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kuna msemo huu tafadhali utafakari,
  Maskini akipata ****** hulia mbwata.
   
 4. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #4
  Feb 16, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Aiseee :twitch:
   
 5. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #5
  Feb 17, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 420,364
  Trophy Points: 280
  PHP:
  Aiseee :twitch:
  No comment sometimes is a better comment.........................
   
 6. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #6
  Feb 17, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 420,364
  Trophy Points: 280
  PHP:
  Kuna msemo huu tafadhali utafakari,
  Maskini akipata ****** hulia mbwata.
  Am speechless...........................
   
 7. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #7
  Feb 17, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Nashukuru mkuu kwa kutumia tasifida!inapendeza sana!!
   
 8. P

  Preacher JF-Expert Member

  #8
  Feb 17, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ingependeza kama angekuwa na kitu mkononi - presidaa mzima - anamsalimia mtoto mikono mitupu - ukarimu uko wapi hapo???
  Upendo ni vitendo si.....vicheko
   
 9. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #9
  Feb 17, 2011
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,499
  Likes Received: 1,080
  Trophy Points: 280
  Yeye anadhani hivyo ndio kuonyesha upendo kwa wananchi wake! raisi huyu kweli kimeo,
   
Loading...