Ingekuwaje kama Cyril Ramaphosa angezomewa Tanzania?

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,301
12,600
Wananchi wa Zimbabwe walimzomea Rais wa South Africa wakati wa shughuli ya kumuaga Mugabe kama sehemu ya kupinga kile kilichotokea Afrika Kusini Kwa raia wa kigeni kupigwa na kuporwa mali zao na wenyeji.

Kitendo kile kama kingetokea Tanzania nini kingetokea kwa watu waliomzomea Rais Ramaphosa?
 
Kutokea Tanzania ni hakuna(its a semi police state)ila hii ni moja ya dempkrasi at its best,president CR hakuonyesha hasira ila aliendelea na speech yake na hatimaye alishangilia baada ya kuwaomba msamaha(hili sijawahi kuliona wala kulisikia kwa top politicians wetu they always blames someone)xenophobic attacks zilizotokea SA tuelewe kuwa viongozi wetu wa Africa nao wamechangia kwa kiasi kikubwa,maana wamekuwa madikiteta kwenye nchi zao,they loot and kill the economy za nchi zao na matokeo yao zimekuwa zinazalisha wakimbizi wengi ambao wakifika SA THEY STARTS fighting to fish in a same ponds na raia,je sharia zetu zinaruhusu wachina waje wafungue biashara za mama ntilie hapa kwetu?biashara za genge?shoe shine?tuelewe kila nchi ina sharia zake za kulinda raia wake hasa hizi small business ambazo ni lazima zifanywe na raia.Domekrasi imeanza kuchanua huko ZIM.
 
Lugha gongana ilikuwa kinga yake ya kwanza kutozomewa, labda tuashumu angetoa speech kwa hii lugha yetu ya kindengereko hakika tungechakazwa hakuna mfano.
 
Licha ya kichapo cha mbwa koko, watu wangefunguliwa kesi za uhujumu uchumi na bunge lingepitisha azimio la kupinga makuadi wa mabeberu!!
 
Hakuna wazomeaji Tanzania
Wakati wa JK, mzee wa kejeli Mkapa nakumbuka alitoa maneno fulani (siyakumbi) ya kejeli kwa wananchi.
Basi vijana wakaamua kuwa wanamsubiri pale kona na Namanga.
Akipita na watu wake wanaanza kumzomea FISADI, MWIZI na maneno mengine ya hovyo.
Ilibidi serikali iingilie kati KUOMBA TABIA HIYO IACHWE.
 
Wananchi wa Zimbabwe walimzomea Rais wa South Africa wakati wa shughuli ya kumuaga Mugabe kama sehemu ya kupinga kile kilichotokea Afrika Kusini Kwa raia wa kigeni kupigwa na kuporwa mali zao na wenyeji.

Kitendo kile kama kingetokea Tanzania nini kingetokea kwa watu waliomzomea Rais Ramaphosa?
Tanzania ni baba. Awana ujinga huo
 
Watanzania Huwa wanazomea Timu zao zinapofungwa tu mengine kazi yao ni kushangilia tu
 
Watanzania Huwa wanazomea Timu zao zinapofungwa tu mengine kazi yao ni kushangilia tu
wanashangilia hata uwekwaji wa jiwe la msingi tu. wanashangilia ununuzi wa ndege wakati watoto wao wanakaa chini, watumishi wanalazimishwa kulala kwenye mwenge na kuuchangia wakati hawajaongezewa mishahara kwa miaka minne sasa. wanaaambiwa kuna maendeleo wakati wamiliki wa viwanda bado ni singasinga, wanaporwa korosho zao kwa mbwembwe kumbe mporaji yu mbumbu wa soko.. pora kwanza soko baadae, wanashangilia ujenzi wa SGR bila kujua gharama za nauli za hilo dubwasha. waliambiwa wanatafutwa wenye vyeti feki wakati mtoto pendwa anajaza watu na kuwadanganya kila siku, mkuu wa mkoa anaagiza vibaka wauwawe, wanashangilia wakiaminishwa kwamba serikali yao inapambana na nchi tajir huku ikitembeza bakuli. mikopo ya wanafunzi imepungua, wakimaliza hakuna ajira, magazeti yansifia tuu.
MWAKA WA NNE SASA HAKUNA FISADI ALIYEFUNGWA WATU WAPO NDANI WANAPUNGUZIWA MASHITAKA.
tumeambiwa polisi wa mwanza wameshiriki uporaji wa dhahabu/jinai mara wamesamehewa na kurudi kazini.
Kijana wa makambako alionewa na kuamriwa atiwe adabu na MAPOLISI Damu yake itamfuata aliyetoa amri
Tundu lisu alimiminiwa risasi misil ya mbweha mpaka leo amepokwa na ubunge
kina mbowe wapo kisutu kila kukicha wakati muaji wa akwilin anajulikana.
Raisi anatembea na uzio wa chuma afanyapo ziara akiwaogopa anaosema anawatetea (mtu/mnyonge unamtetea kisha unamuogopa?) mungu ndiye ajuaye
 
Back
Top Bottom