Ingekuwaje kama CHADEMA ndiyo wangefanya hivi?

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
Huku ni kunajisi elimu yetu,katiba ya JMT na maadili ya vyama vya siasa. Inatambulika wazi kuwa ni kosa la jinai kuendesha siasa za vyama mashuleni na kwenye ofisi za umma,CCM wanaona wapo juu ya sheria...Haikubaliki
 
Attachments

  • 1470307_557049377717904_759486098_n.jpg
    1470307_557049377717904_759486098_n.jpg
    52.5 KB · Views: 1,323
Huku ni kunajisi elimu yetu,katiba ya JMT na maadili ya vyama vya siasa. Inatambulika wazi kuwa ni kosa la jinai kuendesha siasa za vyama mashuleni na kwenye ofisi za umma,CCM wanaona wapo juu ya sheria...Haikubaliki
Hii ni shule ya ccm amabayo inamilikiwa na umoja wa wazazi wa ccm kwani kipi cha ajabu kukagua shule zao.
 
Ndo maana wazungu wanatudharau hasa nchi ya Tz
Wanajua mtu akipewa hata suti au kupanda farasi anabadilishana na madini
Ukaguzi wa shule unakaguliwa na katibu mkuu wa chama
Ivi tumelishwa nini kwenye vichwa vyetu hatujielewi wala kujitambua
Ivi anakuja hapa na kussuport eti shule ya wazazi for what we have to change
 
Katiba ni nini Bwana, wao wako juu ya sheria, wanaweza kubaka na kutishia kuwaua watoto lakini hawakamatwi, wanaua tembo na kiongozi wa uhalifu huo ndiye kinara namba mbili wa chama, wanaiba pesa benki kuu halafu wanajadili jinsi ya kuzirudisha, wanafanya biashara ya madawa ya kulevya na kutuharibia nguvu kazi ya nchi na mengine kama hayo na hakuna wakuwasema wala kuwafanya chochote. Anaye thubutu kusema, adhabu yake ni kung'olewa kucha na meno bila ganzi.

Lakini yana mwisho haya.

Tiba
 
Hii ni shule ya ccm amabayo inamilikiwa na umoja wa wazazi wa ccm kwani kipi cha ajabu kukagua shule zao.

hahahaaa tunashukuru ccmkwa kusomeshea makamanda coz karibu wanafuzi wote hapo nawaona ni makamanda.
 
Huku ni kunajisi elimu yetu,katiba ya JMT na maadili ya vyama vya siasa. Inatambulika wazi kuwa ni kosa la jinai kuendesha siasa za vyama mashuleni na kwenye ofisi za umma,CCM wanaona wapo juu ya sheria...Haikubaliki
hiyo haikubaliki kabisa na kwa kweli tunatakiwa kuikemea tabia hiyo kwa nguvu zote , POOR CCM ! MNATIA AIBU SANA !
 
Hapo Nape anafanya ukaguzi wa nini?
HUYO NAPE KWA KWELI anajidharaulisha sana , hata style yake ya kuhutubia siku hizi ni ya kishamba sana , anapayuka tu bila mpango ! eti ndiyo nini au kapagawa na magamba ?
 
Huku ni kunajisi elimu yetu,katiba ya JMT na maadili ya vyama vya siasa. Inatambulika wazi kuwa ni kosa la jinai kuendesha siasa za vyama mashuleni na kwenye ofisi za umma,CCM wanaona wapo juu ya sheria...Haikubaliki

Hii ni mbaya kwan wenye taaluma hawapo?
 
Ndo maana wazungu wanatudharau hasa nchi ya Tz
Wanajua mtu akipewa hata suti au kupanda farasi anabadilishana na madini
Ukaguzi wa shule unakaguliwa na katibu mkuu wa chama
Ivi tumelishwa nini kwenye vichwa vyetu hatujielewi wala kujitambua
Ivi anakuja hapa na kussuport eti shule ya wazazi for what we have to change

Naona akili zinakutoka kama dada zetu wakiwA mwezini,umesahau kuwa hizo shule ni za ccm,?
 
Huku ni kunajisi elimu yetu,katiba ya JMT na maadili ya vyama vya siasa. Inatambulika wazi kuwa ni kosa la jinai kuendesha siasa za vyama mashuleni na kwenye ofisi za umma,CCM wanaona wapo juu ya sheria...Haikubaliki

CCM wameishiwa, wanatamani hata kuhutubia grupu la Wendawazimu, maana wenye akili zao wamewastukia wanataka pesa mbele kwanza au Ubwabwa na Muziki wa bure.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom