PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,454
Hii ni shule ya ccm amabayo inamilikiwa na umoja wa wazazi wa ccm kwani kipi cha ajabu kukagua shule zao.Huku ni kunajisi elimu yetu,katiba ya JMT na maadili ya vyama vya siasa. Inatambulika wazi kuwa ni kosa la jinai kuendesha siasa za vyama mashuleni na kwenye ofisi za umma,CCM wanaona wapo juu ya sheria...Haikubaliki
Hii ni shule ya ccm amabayo inamilikiwa na umoja wa wazazi wa ccm kwani kipi cha ajabu kukagua shule zao.
Orodhesha ni Sheria gani inayoruhusu wanafunzi kuubiriwa Siasa. poor you
Hii ni shule ya ccm amabayo inamilikiwa na umoja wa wazazi wa ccm kwani kipi cha ajabu kukagua shule zao.
Hii ni shule ya ccm amabayo inamilikiwa na umoja wa wazazi wa ccm kwani kipi cha ajabu kukagua shule zao.
hiyo haikubaliki kabisa na kwa kweli tunatakiwa kuikemea tabia hiyo kwa nguvu zote , POOR CCM ! MNATIA AIBU SANA !Huku ni kunajisi elimu yetu,katiba ya JMT na maadili ya vyama vya siasa. Inatambulika wazi kuwa ni kosa la jinai kuendesha siasa za vyama mashuleni na kwenye ofisi za umma,CCM wanaona wapo juu ya sheria...Haikubaliki
HUYO NAPE KWA KWELI anajidharaulisha sana , hata style yake ya kuhutubia siku hizi ni ya kishamba sana , anapayuka tu bila mpango ! eti ndiyo nini au kapagawa na magamba ?Hapo Nape anafanya ukaguzi wa nini?
Huku ni kunajisi elimu yetu,katiba ya JMT na maadili ya vyama vya siasa. Inatambulika wazi kuwa ni kosa la jinai kuendesha siasa za vyama mashuleni na kwenye ofisi za umma,CCM wanaona wapo juu ya sheria...Haikubaliki
Ndo maana wazungu wanatudharau hasa nchi ya Tz
Wanajua mtu akipewa hata suti au kupanda farasi anabadilishana na madini
Ukaguzi wa shule unakaguliwa na katibu mkuu wa chama
Ivi tumelishwa nini kwenye vichwa vyetu hatujielewi wala kujitambua
Ivi anakuja hapa na kussuport eti shule ya wazazi for what we have to change
Huku ni kunajisi elimu yetu,katiba ya JMT na maadili ya vyama vya siasa. Inatambulika wazi kuwa ni kosa la jinai kuendesha siasa za vyama mashuleni na kwenye ofisi za umma,CCM wanaona wapo juu ya sheria...Haikubaliki
Naona akili zinakutoka kama dada zetu wakiwA mwezini,umesahau kuwa hizo shule ni za ccm,?
Mbona hizi gwanda za green hazina mvuto kama za kaki? Ni shape ya mtu au tatizo la ku copy na ku paste?