Ingekuwaje kama binadamu wote tungefanana.....

Stahmy Junior

Member
Mar 11, 2011
82
16
Hivi ingekuwaje kama watu wote duniani tungefanana sura? mfano wote mngekuwa na sura kama yangu..Ingekuwa poa au ndo tusingejuana?
 
ingekua poa tu,
Leo unakamatia huyu, kesho yule na wala hushtuki!!
 
Tukiangalia China hawafanani ila balaa tupu...kuwatofautisha ngumu....hasa wote tuwe kama wewe...duh....sharobaro asingekuwa na kazi
 
Huo ni uwezo wa Mungu kuonesha kwamba kila mmoja atahukumiwa kwa makosa yake, siyo sura yake, umbile lake wala kwa sauti yake kwani hata roho hazifanani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom