Ingekuwa wewe ungefanya ungemshauri nini?

Eng. Smasher

JF-Expert Member
Nov 13, 2010
745
23
Habari wanaharakati!!

Kuna issue inanitatiza naomba niwashirikishe mnipe msaada wa mawaidha.
Nina rafiki yangu wa karibu sana ambaye namchukulia kama bro. Miezi 4 iliyopita alifanikisha kumpata mpenzi aliyempenda na kumhangakia kwa muda mrefu sana.
Siku 1 akawa kafanikisha kupewa apige gemu but kila akitaka kuanza mambo ki2 kinalala, ilimtokea mara 4 katika siku tofauti hali ni ileile but wakati romance mambo shwari kabisa.
Last month binti katangaza ndoa na m2 mwingine,rafiki yangu kauliza reason kumbe binti ana mimba ya jamaa huyo anayetaka kuoa.
Binti anasema hampendi jamaa coz hampi care kama alizokuwa anapata kwa rafki yangu, sasa hivi rafiki yangu anashinda na analala nae yule binti na wanaendeleza penzi kama kawa huku maandalizi ya harusi ya huyu binti na jamaa mwenye mimba yapo mwisho coz ni next week!
Rafiki yangu anasema hamwachi huyu binti na atamwoa hata bomani!!!
Nimshauri nini huyu rafiki yangu coz hasikii wala haoni kwa huyu mke mtarajiwa wa m2???
 
Smasher..........hapo kwenye red sijaelewa------ina maana binti alimkubali best yako akiwa tayari ni mchumba wa mtu? Je huyo best yako alijua kuwa anaiba mali za watu??

Blue: So baadae kitu kilikubali kusimama?
 
duh...,infidelity at its best!
si yuko tayari kulea mtoto ambae sio wake???amwambie huyo dada amuache mzazi mwenzie na yeye amuoe...
hujasema sasa hivi,kwa hiyo anasimamisha kama kawaida au kitu bado kinalala?lol
 
Lol!!!! You have just made my entire day hakyanani nimecheka mpaka machozi yamenitoka mjukuu dah acha tu
 
du, aliyeuza cheni kapokea hela bandia na aliyeuziwa cheni kapata cheni feki!!!!!
 
Lol!!!! You have just made my entire day hakyanani nimecheka mpaka machozi yamenitoka mjukuu dah acha tu
Ah babu we acha tu mapenzi ni mauza uza siku hizi hakuna mapenzi ati............................. eh ndo aseme sasa kama mkwaju ulisimikwa.
 
duh...,infidelity at its best!
si yuko tayari kulea mtoto ambae sio wake???amwambie huyo dada amuache mzazi mwenzie na yeye amuoe...
hujasema sasa hivi,kwa hiyo anasimamisha kama kawaida au kitu bado kinalala?lol

jamani labda tujiulize tena na tusiangalie upande mmoja tu, yawezekana labda huyo dada alishindwa kumsaidia huyo kaka aweze kusimamisha???nadhani hapo wakina dada nao wanatofautiana kwa mautundu ya style /design n.k
 
Binti alimkubali best yangu wakati sio mchumba wa m2 but kitu kilipokuwa kinagoma wakitaka kuanza shughuli binti ndo akakutana na jamaa akamjaza mimba ili kuficha aibu wakatangaza ndoa dats why binti hampendi jamaa may be ilikuwa kupoza machungu.
Sahivi best yangu ki2 kinakubali kusimama kama kawa na anajua anaiba sahivi!!!!!

Smasher..........hapo kwenye red sijaelewa------ina maana binti alimkubali best yako akiwa tayari ni mchumba wa mtu? Je huyo best yako alijua kuwa anaiba mali za watu??

Blue: So baadae kitu kilikubali kusimama?
 
kuna utata hapa, how come jamaa sasa hv anashinda kwa binti, wkt ulituambia kuwa hawez kbsa ile mambo? au anafurahia kuuziwa sura tu? kama hawez amwache binti wa wa2 asimpotezee na kumlogea ishu yake kwa wa ukweli mwenye mzigo
 
jamani labda tujiulize tena na tusiangalie upande mmoja tu, yawezekana labda huyo dada alishindwa kumsaidia huyo kaka aweze kusimamisha???nadhani hapo wakina dada nao wanatofautiana kwa mautundu ya style /design n.k

mmnh mara zote nne???mbona sasa kwa huyo aliyemjaza mimba,kitu kikawa kinaitika???alitolea wapi maujuzi??weee usitafute excuse....nadhani huyo kaka alikuwa muoga sana kwa huyo dada kitu kikawa kinalala...lol
 
duh...,infidelity at its best!
si yuko tayari kulea mtoto ambae sio wake???amwambie huyo dada amuache mzazi mwenzie na yeye amuoe...
hujasema sasa hivi,kwa hiyo anasimamisha kama kawaida au kitu bado kinalala?lol
Best yangu yupo tayari kulea mtoto problem ndoa ipo kanisani next week inafungwa.
Huyu best yangu alikuwa anasimamisha kama kawaida wakiwa katika maandalizi, ikifika wakati wa gemu kuanza kitu kinalala lakini sahv anapiga gemu kama kawa wala kitu hakisinyai kama mwanzo!!!!!!
 
kuna utata hapa, how come jamaa sasa hv anashinda kwa binti, wkt ulituambia kuwa hawez kbsa ile mambo? au anafurahia kuuziwa sura tu? kama hawez amwache binti wa wa2 asimpotezee na kumlogea ishu yake kwa wa ukweli mwenye mzigo

Sasa hivi best yangu anapiga mambo balaa hata haelewi kwann kipindi kile ile hali ilimtokea!!!!!!
 
jamani labda tujiulize tena na tusiangalie upande mmoja tu, yawezekana labda huyo dada alishindwa kumsaidia huyo kaka aweze kusimamisha???nadhani hapo wakina dada nao wanatofautiana kwa mautundu ya style /design n.k
Mh.......... bacha hii inategemea utundu wa bidada ? Nijuavyo mie utundu huwezakufanyika iwapo kuna tatizo in the first place kuwa kama mkaka kashindwa kwa sababu za may be uwoga yaani psychological ones mdada anaweza kumcalm na kumsaidia akaweza but lazima kuwe na kitu so si rahisi kuanza kumlaumu huyu dada kama chanzo unless tumlaumu kwa kushindwa kumsaidia kutoka katika hali hii (kama aligundu achanzo lakini)

Otherwise hii kitu bwana inasimama tu......... kama inawezasimama hata kwa mbuzi ambaye hajui mautundu wala mashimo sembushe ikiwa imetengewa kabisa??.... Lazima kulikuwa na kitu

Hebu we naniliu, nani wewe smasher rudi utupe maelezo toshelezi huku
 
Binti alimkubali best yangu wakati sio mchumba wa m2 but kitu kilipokuwa kinagoma wakitaka kuanza shughuli binti ndo akakutana na jamaa akamjaza mimba ili kuficha aibu wakatangaza ndoa dats why binti hampendi jamaa may be ilikuwa kupoza machungu.
Sahivi best yangu ki2 kinakubali kusimama kama kawa na anajua anaiba sahivi!!!!!

Mh basi huyo Binti atakuwa kuna kitu anaficha hajasema ukweli yaani within miezi minne keshapata mwanaume mwingine, kampenda, kambebea mimba na ndoa wanafunga??? Kaazi kweli kweli au anaolewa sababu ya mimba??
 
Yap hiyo ndo sababu kuu inayomfanya aolewe na jamaa huyo.
Binti anavodai alijiingiza kumkichwa kwa jamaa coz aliona ameamshwa hisia na best yangu and then akashindwa kumpa mambo.
 
Hana lolote, huyo binti ni msanii wa hali ya juu! mwambie best yako atimue fasta! Next time ikilala tena atatafute mwingine!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom