Ingekuwa wewe ungefanya nini?

TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
11,501
11,232
Mama Wawili bought a new handset and a new line.
She wanted to surprise her husband.

In the evening, the husband was in the sitting room watching TV while she was in the kitchen.
She called her husband from the kitchen "to surprise him".

The husband quickly picked up the phone, run to the bedroom without asking who was on the line (thinking that must be his girlfriend) he said:

“Darling kata nitakupigia baadae kidogo, hili lijinga liko jikoni saa hizi likisikia litaanza ile mikelele yake, nalilia timing nitalitoka sasa hivi"
He then hanged up.


Ungekuwa wewe ungefanya nini kwa huyu mwanaume???
 
Za mwizi arobaini. Ilikuwa ndiyo siku yake ya kujikamatisha kwa mke wake, ready handed!!! Jamani hizi simu za mkononi balaa tupu. Huyo mume hafai, mama mumeo kakuchoka huyo, hana mapenzi na wewe. Kama kweli unampenda mke au mume wako hakuna nyumba ndogo yoyote itakusawishi (both sides) hata wale wa hit and run hawatakuwepo. KIpimo cha mapenzi ni uaminifu katika ndoa au muhusiano yoyote yale ya kimapenzi, be it boy/girl friends. fiancee na ultimately ndoa. Thanks.
 
I wish uwe my wife coz 'i will teach you a lesson'.....!

Hmmm! utakuwa umechokoza ukooo mzima ... ila dont underestimate me .. u may learn a lesson too from then onwards ... nikikungangania sehemu moja na meno ... hakiayanani vile wananibandulia muhimbili
 
I wish niwe jirani yenu,mnasemaje?

mwambie Manda .. hata kama ni rijali vipi akipigwa kofi ya ghafla tena na mwiko atashinyaa mpaka apate sababu itakuwa too late ... alafu akinijia hizo kelele tu atakoma .. jirani usiwe tu na ugonjwa wa moyo maana utakufa kabla hujaokoa jahazi
 
Hmmm! utakuwa umechokoza ukooo mzima ... ila dont underestimate me .. u may learn a lesson too from then onwards ... nikikungangania sehemu moja na meno ... hakiayanani vile wananibandulia muhimbili

Si nilisema?....nakwambia piga ua ile iyo mikoa ya kule.... sioi mke hata wanipe 'sheli' n 'meli'....!

Thanx u make me laugh....najua utam wa 'kung'atwa..it once happen to me'..USIJARIBU!!
 
mama wawili bought a new handset and a new line.
She wanted to surprise her husband.


“darling kata nitakupigia baadae kidogo, hili lijinga liko jikoni saa hizi likisikia litaanza ile mikelele yake, nalilia timing nitalitoka sasa hivi"
he then hanged up.


ungekuwa wewe ungefanya nini kwa huyu mwanaume???


mhh jamani ,sasa hapa hamna upendo kwakweli,mimi ningemtextia ,ningemwambia tukutane sehemu fulani,maana wanaume hakawii kuruka.then hapo aniambie vizuri ujinga wangu nini haswaa,
 
mwambie Manda .. hata kama ni rijali vipi akipigwa kofi ya ghafla tena na mwiko atashinyaa mpaka apate sababu itakuwa too late ... alafu akinijia hizo kelele tu atakoma .. jirani usiwe tu na ugonjwa wa moyo maana utakufa kabla hujaokoa jahazi

Natamani niwe house boy wenu maana,hasira zako kwa manda mie ntakua kipozeo chako au vp?
 
Makubwa Ufisadi katika ndoa sasa EPA ya ndoa imegundulika inavuja. Ni kasheshe hilo hapo. BUT anaweza kujua ni utani na jamaa kama intelligent akajifanyiza mkewe ajue ni utani kwani hata na yeye alikuwa akitania. It can be the easiest but potentailly most dangerous situations and delicate and fragile too.
 
Back
Top Bottom