Ingekuwa wewe ndo kikwete...ungetoa tamko gani??

Hali ni ngumu sana kwa Raisi Kikwete, kila kukicha ni habari mbaya kama jinamizi likiiandama serikali yake. Yaonekana serikali haiko makini kuepuka lawama, makosa,labda kuna ugumu kungamua lipi wafanye na lipi wasifanye.
 
Back
Top Bottom