Ingekuwa wabongo tuna chagua raisi wa marekani tungembakisha obama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ingekuwa wabongo tuna chagua raisi wa marekani tungembakisha obama

Discussion in 'International Forum' started by Mandown, Apr 19, 2012.

 1. Mandown

  Mandown JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 1,576
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Wajua wamarekani hawatabiriki. nakumbuka kipindi kile BUSHI anagombea muhula wa pili, watu wengi hawakupenda arudi madarakani, manake balaa alilo lileta lili kuwa na athari ki uchumi katika kila nchi. Sasa kazi kwa Obama, manake Wamarekani Hawatabiriki:disapointed:
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,914
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  Mkuu, kwa Bush umetoa ufafanuzi ni kwa nini hawakumtaka. Hebu kuhusu Obama tuambie ni nini hasa ame miss mpaka kupelekea Wamarekani kutokutabirika..
   
Loading...