Ingekuwa vipi kama ushoga ungehalalishwa nchini?

Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
29,038
10,684
Mwanaume wa shoka kabisa uko zako mtaaani au sehemu yoyote ile anajitokeza jamaa,bila kujali kama wewe ni mdau au la kukutongoza (kama ilivyo kwa m/ke vs m/me) akaku-cameroon.Dah nadhani ngumi zake zisingekuwa na msuluhishi.Ingekuwa hatari..........
 
Ingekuwa hatari. Maana madem woote wangekuwa wanawapapatikia minjemba ambayo majongoo hayapandi mtungi. Idadi ya watoto kuzaliwa ingepunguwa. Hadhi ya taiffa letu ita anguka. Chuki kati ya wanaume itazidi. Uchumi wa Tanzania itawategemea mashoga kujumuika na wa majuu. Vitenge na kanga vitauzika zaidi. Maofisi hayata fanya kazi vizuri. Ilimradi balaa litaikumba nchi yetu na sisi wote tutajulikana kuwa ni taifa la mashoga.

[ Eagles come in all shapes and sizes, but you will recognize them chiefly by their attitudes]
 
Nape angechekelea sana maana angetimiza yaleee aliyo yasema kanda ya ziwa..angewashikisha ukuta kama hana akili nzuri
 
KUna mpya gani, mbona kila siku mshoga wanawatokea madume wenzao kila siku, hujawahi tongozwa na shoga? kama huja wahi basi ujue wewe huvutii, shoga hawezi jizuia kwa manaume mzuri.

Kingine mbona Ushoga hapa TZ ni ruksa? ulisha wahi ona shoga kashtakiwa au kapigwa mitaani au kuchomwa moto kama vibaka?
 
:embarassed2::embarassed2::embarassed2:.... Ni hivi.....................????????




Toooooobaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! !!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Baba tupia jicho la pili kwa hiki kizazi! Amen!!

Usenge ni MUHIMU mno kwa kizaza hiki ili hukumu ya mwisho ionekane kuwa ya haki kabisa hata machoni pa wenye dhambi, maana hata wasiookoka wanalaani dhambi ya USENGE. Amin Amin nawaambia, kizazi hiki hakitapita kabla ghadhabu ya Allah kushuka hapa duniani. Mwamini Yesu nawe utaokoka.
 
Back
Top Bottom