Ingekuwa ni Marekani au Uingereza kauli za Sitta na Sumaye zingekifikisha wapi chama? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ingekuwa ni Marekani au Uingereza kauli za Sitta na Sumaye zingekifikisha wapi chama?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gosbertgoodluck, Mar 28, 2011.

 1. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Wandugu,

  Hawa viongozi Mhe. Sitta na Sumaye kila mmoja ametoa kauli nzito nzito zinazodhihirisha udhaifu wa chama chao. Mbaya zaidi chama kama chama hakijatoa tamko lolote rasmi la kujibu hoja za hao wazee. Hivi ingekuwa ni kwa wenzetu Marekani au Uingereza, hiki chama kinge-survive kweli?
   
 2. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kwa Tanzania sio ajabu hata kesho ukaona hao Sita na Sumaye wakishughulikiwa kwa jina la kukinusuru chama na watu wakishangilia maamuzi hayo. Lakini maneno ya viongozi hao wawili yalitosha kukimaliza chama hicho ambacho sasa ni dhamana ya watu wachache ambao ndio wanaotoa mapendekezo kwa viongozi bendera kama walivyo umoja wa vijana na makamba, ili kujaribu kuwamaliza kisiasa viongozi waliojaribu kuonyesha uthubutu wa kutoogopa jinamizi la chama cha mapinduzi.
   
Loading...