Ingekuwa ni Lowassa ndio amejenga uwanja wa ndege wa kimataifa Monduli,CCM leo wangekuja na kauli gani?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,990
144,321
1.Wangekaa kimya kama walivyoamua kukaa kimya hivi sasa au wangemuita fisadi na mbinafsi?

2.Je,wasingetaka kuandamana nchi nzima?

3.Je,mtu kama Polepole au Nape leo hii angesema nini?

4.UVCCM wangekuwa kimya kama walivyoamua kuwa kimya leo hii?

5.Wasingedai kamati ya Bunge iundwe kuchunguza mradi huo pamoja na gharama zake?
 
Unanikumbusha wimbo wa Mwana Fa, "ingekuwa vipi". Nway, sidhani kma Lowassa nae ana akili mbovu. Tatizo Pombe
 
Wajingawajinga ndo washabiki wa ccm

Bila kufikiria wakiamrishwa tu povu zinawatoka mithili ya majuha

Wangekesha na kushindwa kutwa wakirusha kila aina ya uchafu....

Lakini hutasikia wakimsema

Beni na uuzaji nyumba za serikali, kujiuzia kiwila nk

Mzee wa vijsenti

Mama wa hela ya mboga 1.6Bilion

Mzee wa aiport porini Chato

Nk
 
Lowassa yeye kipaumbele chake kilikuwa Richmond na mvua za kununua so angeenda Thailand kuwanunulia wana nchi wake wa monduri mvua nyingi sana hahahaha
 
1.Wangekaa kimya kama walivyoamua kukaa kimya hivi sasa au wangemuita fisadi na mbinafsi?

2.Je,wasingetaka kuandamana nchi nzima?

3.Je,mtu kama Polepole au Nape leo hii angesema nini?

4.UVCCM wangekuwa kimya kama walivyoamua kuwa kimya leo hii?

5.Wasingedai kamati ya Bunge iundwe kuchunguza mradi huo pamoja na gharama zake?
Ujenzi wa huu uwanja unaaibisha sana ccm .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom