Ingekuwa ni leo, ungesomea hicho unachokifanya sasa?

Hivi hakuna kabisa chuo kilicho specialize kwenye utrafiki pekee.?? Wish I could do that..!!😒

Wanakula pesa za bure jamani..!
Sijawahi ona trafiki mwenye sura angavu,mnyororo na mvuto.Ngozi za uso wao zimejaa stress, ni watu wasiokuwa na amani.Naomba watafiti TZ wakawafanyie hawa watu utafiti, kiwango cha wasi wasi na stress.Sitamani kabisa UTRAFIKI.
 
Mimi naona nilichelewa kukisokea kwa kuwa sikuwa na taarifa sahihi nikapoteza mda kwa vitu vinginevyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom