Sijawahi ona trafiki mwenye sura angavu,mnyororo na mvuto.Ngozi za uso wao zimejaa stress, ni watu wasiokuwa na amani.Naomba watafiti TZ wakawafanyie hawa watu utafiti, kiwango cha wasi wasi na stress.Sitamani kabisa UTRAFIKI.Hivi hakuna kabisa chuo kilicho specialize kwenye utrafiki pekee.?? Wish I could do that..!!😒
Wanakula pesa za bure jamani..!