Ingekuwa ni computer: kikwete ni 'SCREEN' na Rostam ni 'CPU'

kazii kwelikweli, umeme shida . mfumuko wa bei mara dufu. gharama za maisha hazisemeki iko kazi.
 
Dr Slaa yeye atakuwa hackers maana ananyaka ishu zote from the CPU bila wao wenyewe kujua.

Sisi wananchi ni kundi gani?? Ant virus au virus wenyewe??
 
Back
Top Bottom