Ingekuwa ni computer: kikwete ni 'SCREEN' na Rostam ni 'CPU' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ingekuwa ni computer: kikwete ni 'SCREEN' na Rostam ni 'CPU'

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gosbertgoodluck, Jan 21, 2011.

 1. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Wakuu,
  Mwenendo wa uongozi wa nchi hii umefikia hatua ya watu kulinganisha na computer kwamba rostam ndiye Central Processing Unit (CPU) na kikwete ni Screen. Je, kwa mtazamo wako, kuna mantiki yoyote hapa? Tafakari na toa mawazo yako.
   
 2. j

  j4marunda Member

  #2
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 92
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Hi ni kweli bwana hapo tumeliwa! lakini Mhe. Kikwete pale mwanzoni mwa utawala wake alituambia kwamba urais wake hauna ubia na mtu yeyote!KUMBE! alijua nyuma yake kuna watu waliomtayarishia huo urais na ndio haoooo!!
   
 3. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kauli ya 'urais wangu hauna ubia' ilikuwa ya kujihami. Inawezekana kwa kiasi fulani nae hafurahii sana jinsi anavyoendeshwa na RA lakini hana jeuri ya kumkwepa kutokana na jinsi alivyomsaidia kwenye harakati zake za kuusaka urais.
   
 4. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #4
  Jan 21, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  CPU haifanyi kazi bila kupokea input command. Sasa tueleze, input (keyboard, scanner etc) ni nani huyo/hao? Nadhani hii analog yako imekosewa mahali kwa jinsi ulivyotaka kumaanisha. Maybe ungeweka kwamba RA ni input, JK ni CPU na Makamba na Tambwe ndio mascreen !
   
 5. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #5
  Jan 21, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Kumbe!!! basi kweli
   
 6. T

  The Biggest IQ Member

  #6
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naongezea hapo mizengo yy ni UPS maana issue ikibuma yy ndo huokoa jahazi kwa muda wakati wenzake wakijippanga nn la kufanya
   
 7. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #7
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,744
  Likes Received: 1,455
  Trophy Points: 280
  ΓΌ excellent!
   
 8. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #8
  Jan 21, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  input ni Lowasa + R1 + Salma
   
 9. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #9
  Jan 21, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Kinachozuia flash kufunguka kwa ku-click.

  Mpaka utumie windows explorer
   
 10. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #10
  Jan 21, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  kwani kunahitajika nini na nini hata kompyuta ikamilike?
   
 11. Che Guevara

  Che Guevara JF-Expert Member

  #11
  Jan 21, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 1,178
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Input gadgets as well as CPU ni hawa: ni Rostam, Lowassa, Riz1, Salma.

  JK hafikii kuwa CPU, yeye ni screen tuu, si zaidi.

  Mizengo Pinda ni UPS, nayo inaelekea kwisha kazi yake.

  Kuhusu urais na ubia, sijaona mtu aliye sober akasema 'ahh mimi sijalewa bana!'. Maneno hayo husemwa na mtu aliyelewa kama kauli ya kujihami...
   
 12. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #12
  Jan 21, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  hivi kariakoo kunazalaulika sana maana kila watu wengi hupenda kutoa mfano m'baya kwa karikaoo mfano makama aliisema hawezi kukutana watu hovyo hovyo wengine kutoka kariakoo....kwa mimi ninavyo jua wanafunzi wengi wanotoka vyuo vya vidogo huwa na uelewa mkubwa hasa kwenye practical kuliko vyuo vikuu....
   
 13. s

  salisalum JF-Expert Member

  #13
  Jan 21, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Nadhani Kikwete yuko tu kwenye keyboard ni kale ka shift key ka kulia.
   
 14. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #14
  Jan 21, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Walewaleee!! Ulihitimu chuo cha siasa magogoni nini!!
   
 15. magessa78

  magessa78 JF-Expert Member

  #15
  Jan 21, 2011
  Joined: Sep 28, 2009
  Messages: 271
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  RA ni kiungo mchezeshaji anamchezesha JK, hamkumbuki kauli ya JK igunga wakati anampigia kampeni RA?!!Huyu bwana (RA) ni Microprocessor wakati JK ni Keyboard
   
 16. MartinDavid

  MartinDavid JF-Expert Member

  #16
  Jan 21, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 876
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  kikwete ni mouse
  makamba ni trojan virus
  beno malisa ni speaker
  lowasa in CPU
  Rostam ni screen
  chenge ni keybord
   
 17. Baiskeli

  Baiskeli JF-Expert Member

  #17
  Jan 21, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 335
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  makamba ni printa, kazi ya printa kuprint chochote kinachotoka ktk comp. mnaonaje uropokaji wake huyu mzee?
   
 18. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #18
  Jan 21, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Wewe ndiyo umepatia kwelikweli.
   
 19. K

  KunjyGroup JF-Expert Member

  #19
  Jan 21, 2011
  Joined: Dec 7, 2009
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Ha ha ha. PC inaitaj operating system. Ni windows 1977. sisiem operating system. Fire wall ni Mwema
   
 20. k

  kingtuma Member

  #20
  Jan 21, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hujakosea hata kidogo kwani Kikwete anaendeshwa kwa remote na mafisadi nyangumi na ndio maana hasemi chochote juu ya DOWANS kanyamaza kimya kana kwamba hasikii na hajui kinachoendelea. Huo ukimya si bure.
   
Loading...