KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,679
- 8,866
Ingekuwa mwenye vyeti fake ni wakambi ya Upinzani je Mamlaka zinazohusika zinggekuwa kimya???
Nasikitishwa vyombo hivi vinalikuza hili jambo kiasi kuwa linatia ukakasi kwa waliompa dhamana hmhusika!. Nini hatima yake inamaana watakaa kimya na mambo yaishe??
Hii siyo mara ya kwanza kuna miaka ya 90 alitokea mtu anaitwa "Kihiyo" akiwa Mbunge wa Temeke kama sikosei alijivua ubunge na Bwana Augustine Mrema akachukua Jimbo sasa kwanini huyu asiwajibike??
Je,
Kwanini kwa hili wasitoe tamko kuanzia NECTA,Wizara,Polisi kufanya uchunguzi??
Nawakilisha.